Kama dini amebadili yeye na ni maisha yake binafsi, sasa sisi inatuhusu nini! toa upuuzi wako hapa!!!
Aechagua fungu jema.
Bro Ray naye alijiweka hapa!dah....hii kitu itamaliza sana!acha aokoke tu!Mmmh mbona kaisha hivo,au kilichomuua Max ndo kimeanza kumtafuna?
Bro Ray naye alijiweka hapa!dah....hii kitu itamaliza sana!acha aokoke tu!
Kama dini amebadili yeye na ni maisha yake binafsi, sasa sisi inatuhusu nini! toa upuuzi wako hapa!!!