Msanii Maarufu Hapa Nchini Mwaka 2035

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Miili yetu inachoka jinsi miaka inavyosonga mbele.Inaaminika kwamba
huyu hapa ni msanii maarufu wa kike atakavyokuwa mwaka 2035

 
Hapo naona janja ni umeacha mdomo kama ulivyo na lipstick yake ili tusimpotee kabisa. Hebu upige touch ya kiutu uzima uwe na mawimbi kidogo bila kumpotezea taswira. Hata kapua kanahitaji "mistari ya enzi" kidogo.
 
Aisee wee kiboko
Hapana kirumonjeta. Usinipe credit zozote. Hii picha nimeipata kwa mdau mmoja
hapa JF aitwaye kasaloo. Kwa hiyo credit zote ziende kwa huyu mdau.Bahati mbaya
sana nilisahau kusema hiki kitu kwenye hiyo picha.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…