Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,277
Inakuwaje Huyu Bidada amlilie Mbwa Hivi, Huyu mbwa itakua alikua anampiga deki vizuri 

sio kwa kuvimba macho uko Aiseeeeh 



sio kwa kuvimba macho uko Aiseeeeh 



sio kwa kuvimba macho uko Aiseeeeh 

Hujaona RIP chiefKwani hugo mbwa kafanyaje
😘Mayai yake analia chipsi tu ..
Baba mzazi hujambo.
Sijaangalia vizuri ngoja ni zoom soryHujaona RIP chief
Nimeona asee kumbe iko juu kabisa .Hujaona RIP chief
Hutakiwi kusema sorry mbona ni kawaida tuSijaangalia vizuri ngoja ni zoom sory
Nawaheshimu sana mkubwaHutakiwi kusema sorry mbona ni kawaida tu
Labda alikuwa ni mwanae maana si kwa kuvimba huko machoNimeona asee kumbe iko juu kabisa .
Kalia hadi wakafanana macho
Huyu ni Manunu mwingineInakuwaje Huyu Bidada amlilie Mbwa Hivi, Huyu mbwa itakua alikua anampiga deki vizurisio kwa kuvimba macho uko Aiseeeeh
View attachment 1749360
Yaa ni walinzi wazuri wa nyumbaNawaheshimu sana mkubwa





yani wanafia kwenye vinena sanaSiamini hata kidogo hao ma dog wana kazi yao maalumu.Yaa ni walinzi wazuri wa nyumba
Manunu alikimbia wamemrudisha ila atakufa tu na yeyeHuyu hana tofuati na yule mwenzie alisema atakayempata mbwa wake atapewa m1

