kusema kweli wasanii wa bongo movie wa kike wananichefua ila kajala namuonea huruma,kapitia mengi mtoto wa watu.Mi naona anafungwa kwa makosa ya mumewe,wanawake wengi wameolewa na wanaume waliowakuta na mali nyingi lkn bila wasiwasi wameolewa bila kuhoji mijumba na magari vimetoka wapi na haya hayajawakuta,kajala ana bahati mbaya tu kufikwa na haya,haya yangeweza kumpata mwanamke yeyote sio kwa vile kajala ni bongo movie star basi tusimuonee huruma.