kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
nimeshangaa sana ka-graduate mwaka 2017 wakati kwa takribani miaka sita tulikuwa tunaambiwa anasoma huko uchina.Mambo magumu raundi hii kaona agraduate tu hamna kujifelisha kuendelea kupiga mzigo!!
au alikuwa anasomea udaktari na upadre?.maana kusoma udaktari au upadre huchukua si chini ya miaka 5 hadi saba.