Karibu ktk Mageuzi ya kweli huenda ukawaamusha wangoni wengine ambao wamelala fofofo na wajanja huendelea kufunika mashuka ili wasiamke haraka,kwani mkoa mzima wa Ruvuma hauna hata mbunge mmoja wa kuwapigania wa lala hoi,bali wapo tu wasemao naunga hoja kwa 100% halafu inaikosoa tena hoja hiyohiyo,mimi nashindwa hata kuelewa maana ya 100% .Njoo nyumbani Songea Dad
Huyu prof. Jay ni mpambanaji siku nyingi tu. Nililigundua hili kutokana na maudhui ya nyimbo zake na nadhani alichokifanya ni kujiweka wazi tu kwa wakati huu.
hahahahaha huwiiiiiiiiii!!!!!!!! Kwaheri ccm,ccm,kudadeki chama cha mafisadi,tuwazomeee haooooo ccm,karbu sana jembe,afande sele,roma,kala jelemayar,mwana FA,J moo more tekiniki.
Jay, kama umeingia rasmi kwenye siasa za wazi na mapambano ya hoja pia tunakukaribisha JF.
Kuna wadau watakupika hapa, pia utaweza kuiona kwa upana siasa ya tz tokea kwenye jicho la mitandao ya kijamii.....