GE2025 Msanii Harmorapa ametia nia kugombea Ubunge jimbo la Mtwara mjini

GE2025 Msanii Harmorapa ametia nia kugombea Ubunge jimbo la Mtwara mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,707
Reaction score
25,487
Msanii Harmorapa nae ameitumia haki yake ya Kikatiba kwa kutia nia kugombea ubunge jimbo la Mtwara mjini

Screenshot_20250630_090121_Facebook.jpg
 
CCM wamesababisha Bunge lionekane danguro ndiyo maana kila MTU anaweza kwenda.....huyu na babu tale wana tofauti gani?
Na bunge la safari hii litakuwa la hovyo kama mwenyekiti wao alivyo
 
Ningewaona wa maana kama wangekua wanachukua fomu za kujiunga na jwtz ili kutumikia nchi.
 
Back
Top Bottom