Msanii gani hauchoki kutazama movie zake

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
1618841342348.png
 
Mimi kwangu ni wasanii maana hawa jamaa hawakosei.

Tom cruise
Robert Downey Jr
Dwayne Johnson the rock
Ryan Reynolds
Samuel Jackson
Jach chan
Keanu reeves

Wa mwisho kabisa ni will smith.
 
Mimi kwangu ni wasanii maana hawa jamaa hawakosei.

Tom cruise
Robert Downey Jr
Dwayne Johnson the rock
Ryan Reynolds
Samuel Jackson
Jach chan
Keanu reeves

Wa mwisho kabisa ni will smith.
Wa mwisho hapo will smith duu jamaa namkubali sana movie zake, ukija na Eddie Murphy,
 
Eeeh wasanii wa movie wapo wengi wakali Sana hila kila mmoja ana ladha yake
1:Chidwick Boseman
2:usher Raymond
3: will Smith
4:Jamie Fox
5:Michael J. Jordan
6: Denzel Washington
7:Ze Rock
8: TOM jaaa
9:statam
10: boika
For me hao ndo best kwangu.
 
Eeeh wasanii wa movie wapo wengi wakali Sana hila kila mmoja ana ladha yake
1:Chidwick Boseman
2:usher Raymond
3: will Smith
4:Jamie Fox
5:Michael J. Jordan
6: Denzel Washington
7:Ze Rock
8: TOM jaaa
9:statam
10: boika
For me hao ndo best kwangu.

Okay.., this is painful to read but
Ni Michael B Jordan na Ni Tony sio Tom na ni Statham sio statam na ni Scott Adkins ndio Boyka ambalo jina la charcter wa ile Movie Undisputed haaf sio Chidwick watakufungulia lawsuit umeharibu majina yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom