Msanii gani Bongo ungemshauri aachane na mziki?

Msanii gani Bongo ungemshauri aachane na mziki?

sele+sase.jpg

Ama kweli sembe iskie tu
Kwa wenzio
 
Snura chura
Ivi manfongo kapotelea wapi, maana alikuja kwa mbwembwe
 
Harmorapa yani simpendiii km nini na kiki zake za kishamba
 
Back
Top Bottom