Msanii Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya

Natamani sana ile Sheria ya China, Iran na Malaysia ya Kuwauwa kwa Kuwanyongelea mbali wale wote ama wanaouza au wanatumia dawa za Kulevya ingekuwepo au ingeanzishwa hapa Tanzania ili hizi Kero ndogo ndogo na Mtu huyo huyo kila siku anakamatwa na kitu hicho hicho zimalizwe Kiurahisi tu.
 
Hayati Mwalimu JK aliwahi kusema kuwa "ukizoea kula nyama mbichi hutoacha tabia hiyo, siku zote uta tamani kula nyama mbichi zaid na zaid".
 
Tatizo la Chid Benz ni moja tu. Anashindwa kujizuia emotions zake hasa akipata hela.

Ukijaribu kuangalia hii histori ya Chid kurudia Madawa ndio unapata picha.

1. Baada ya kupelekwa Rehab na Bab Tale. Alipotoka alitoa ngoma ya Chuma ft Rayvan. Akaanza kushika hela. Emotions za madawa zikamshinda nguvu. Akadondoka.

2.Alipelekwa Rehab ya Siri na Mdau mmoja hivi ambae hakutaka ajulikane. Alipotoka tena akatoa Ngoma ya MUDA ft QChillah. Akaanza kushika hela. Emotions za Madawa zikamshinda.
Akaanguka.

Kwahii picha naona Hatima ya Chid inatakiwa asishike hela mwenyewe. Awe anapewa Mahitaji yake kwa uangalizi maaluma mpaka muda flani upite.
Na hichi kitu Chid Mwenyewe hapendi ndio kisa cha Kugombana na Babu Tale.

sent by Samson Cyper
 
Asaidiwe tu maskini, kawa teja kama sisi wavuta fegi, yaani huyu anahitaji Rehab na willpower ya kufa mtu...
 
Hii inatupa tafsiri kwamba uenda chid benz amekichagua kifo tu, hana lingine tena alilolibakisha.

Miezi kama miwili alivyotoka rehab alitamba sanaa et sasa iv anafanya biashara ya mazao, hategemei tena muziki, jamaa kwa tukio ili ata ikitokea bahati mbaya akafariki kwa madawa basi jamii haitauzunika sanaa maana marehem alikua hashaurikii na haskii la mtu.
 
Back
Top Bottom