Msanii Ben POL kushtakiwa kuiba nyimbo ya msanii wa amerika, na yeye kuita JIKUBALI

Mi nilimfwata twitter nkamchana,jamaa akaona cjui kinamuuma akaenda ku-express insta cjui binadamu wana chuki… nkaona ananchosha tu nkamtupilia mbali
 
Huyu kijana ukimuona mpole , ila anawapiga sana pumbu vijana wadgo, hata Rio Paul kashampitia
 
hahahahaaaa!! kulaleki....! mwiziiiiiii!!!

nimeikumbuka sana tim ya black eyed peace (BEP) baada ya kumuona william...!

ila jamaa kajitahidi kwa kweli.. wimbo naupenda sana,... sana tu!

''anza sasa..... kutimiza malengo yako''
 
hahahahaaaa!! kulaleki....! mwiziiiiiii!!!

nimeikumbuka sana tim ya black eyed peace (BEP) baada ya kumuona william...!

ila jamaa kajitahidi kwa kweli.. wimbo naupenda sana,... sana tu!

''anza sasa..... kutimiza malengo yako''

Aisee mi napenda ile nyimbo yao ya boom boom BEP
 
Aisee mi napenda ile nyimbo yao ya boom boom BEP

aisee naikumbuka sana!! kitu cha bum bum pwaaa!!! bum bum pwaa!!

yule mdada aliimba vizuri sana..

yani huku william,

kule yuko rasi white,

hapa dada na lisuruali lake... mambo poooa kabisa.... burudaaaaani!!

 
Last edited by a moderator:
Nilitaka kushangaa pimbi kama ben pol kapata akili wapi ya kuandika nyimbo kama ile.sasa nimeamini

Hii kesi inataka kufanana na ile ya Wema, anapangishiwa nyumba na Clement (cjui alipewa, cjui alipangishiwa) afu anakuja anautangazia umma amenunua nyumba
ya Tsh. Million 400, anaita waandish wa habari na wasanii wenzake kuifungua nyumba yake ya thaman. Anapokea pongezi moto moto toka kila pande.

Hii haina tofaut na ya Ben Pol, anatoa wimbo mzuri, kila mtu anaupenda, anausifia na muukubali wimbo pamoja na mtunzi wake (Ben Pol) na tuzo watu wanampa, na sifa kedekede za mtunzi bora n.k

Km umekopy sema umekopy watu tuelewe sifa tutakupa tu wangapi tumewapa kwa kucopy huku huku mana ni uwezo nao co kila mtu anaweza kukopy, kama umepewa gari na Chief unasema tu nimepewa zawadi hatukatai ni jambo jema tu na co kutuambia nimenunua Tsh. Million 300

Uctake kupiwa sifa nyingiiiiii zote ww tu, tuambie umecopy au umepewa zawadi tukupe sifa zako unazostahili na zingine tumpe mtunzi au aliyekupa zawadi.

Kuteleza co kuanguka lkn, uwezo unao Ben Pol, watu wanasubir kazi zako, ongeza juhud km maishair ya huo wimbo yanavyosema.

Prove them wrong that u can do it yourself (to me you hv ord provet it), and that was just an accident.
 
Aisee hili jamaa ndo bure kabisa, si mnakumbuka hata ile ya TID nyota yako? Halafu ukute sasa DJ fetty yule wa radio ya wafu anavyompambaga Ben mie hoi, ndo maana salama huwa anayatupa kule makitu kama hizi kumbe huwa kanaona mbali
 
Yap mimi kuna siku nilikuwa naisifia kweli Jikubali mbele ya mshakaji...

Akaniambia hiyo track amekopi nyimbo ya mbele kuanzia idea hadi melody, nikawa siamini jamaa akachukua laptop akanipigia hiyo nyimbo niliona aibu mbaya..

Hiyo nyimbo amekopi kila kitu alichobadilisha ni majina ye kaweka kina lady jaydee na zito jamaa wa marekani ametaja watu wa kwao..

Bongo bado sana.. Watu kuigilizia kila kitu
kama amekopi amefanya vizuri saana maaana mpaka wimbo unaanza kupotea masikioni mwa watu ndoo mnagundua amekopi , dogo mi namkubali safi sana Ben paul achana na wabongo we fanya yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom