Member siku nyingi, wakuu

Msema yote

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
448
298
Wakuu mimi ni memba mda humu nimekuwa kimya toka kujiunga kwa sababu nlikuwa sijapata thread ya maana ma ya uhakika, ila leo nimrpata hii

Katika kupitisha macho youtube wakuu nimekutana na msanii anaitwa The scrtipt, nikaamua kuchek video yake inayoitwa hall of fame, kiukwel sikuamini kile nlicho kisikia kwani inafana na ile ya track ya BEN POL jikubal kuanzia beat had mashairi tofauti ni majina ya wahusika waliotajwa kwenye nyimbo hizo na lugha, ambapo kwani The script kaimba kwa kiingereza na Ben pol kwa kiswahili http://m.youtube.com/watch?v=mk48xRzuNvA&desktop_uri=/watch?v=mk48xRzuNvA hiyo ndo link ya wimbo wa The script wakuu, naomben tujadili wakuu hili swala la kukopi na kupaste nyimbo za nje je ni uungwana huu? Alaf Ben pol anaupa promo wimbo wake huo kanakwamba utadhani katunga, duu...Karbuni wakuu tuchangie
 
Pumba express by Matola. Karibu JF.
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom