Msanii Ben POL kushtakiwa kuiba nyimbo ya msanii wa amerika, na yeye kuita JIKUBALI

Wewe Kama Ulipwi Sijui.... AU inaonekana uelewi maana ya kucopy . ILA TAMBUA JD, MR PAUL wamewaomba wenyewe kuzirud izo nyimbo , na hao sio wakwanza kufanya ivo hapa tz na watu tunaeleeewa hajacopy kwa kusaidia hawa pia walipata dhamana kutoka kwa wenye nyimbo na wakazirudi FA, LINAH, RAY C , JD , MR PAUL , STAMINA NA N.K na wakuwa wawaz na kusema waliongea na wamiliki wakapa dhamana ya kuzirudi izo nyimbo . KWANZA NAONA napoteza muda tu coz kunkichwa hueeleeew kabisa na mifano yako ISIOKUWA NA MIGUU , kama mtu kacopy , kacopy tu hata umteteaje

bwana mkubwa umekurukupuka kinoma noma hata ujaelewa mada hatujakataa kama hajakopy kakopy na kukopy ni kawaida si maajabu kama wa2 wananyozani ndio maana jd mr paul na nk walikop pia does nt matter kama waliomba idhini au lah si tunazungumzia kucopy tu ni kawaida no new mbona watu wanatungiwa hadi nyimbo
 
Aiseeee haku hangaika kabisa na hii imemtia aibu kabisa
 
Atakuwa mwizi kama wezi wengine awatake radhi watz
na wasanii alowabania kwenye tuzo kwa wimbo wake wa kukopy
 
Nyimbo mpya ya msanii Ben pol inayoitwa JIKUBALI ni copy and paste ya mwanamuzik wa america anayeitwa The script au William!! Ben pol ameigiza kila kitu kuanzia tune, melody, lyrics, chorus!! nimeweka hapa links za nyimbo zote mbili ili uweze kujionea mwenyewe!

The Script - Hall of Fame ft. will.i.am - YouTube-hii ni ya The Script

Ben Pol - JIKUBALI (Official Music Video) - YouTube- hii ni ya Ben pol

UNAWEZA KUZICHEKI THEN UTOE MAONI YAKO, NIMEZIKILIZA SANA NAONA ZIKO THE SAME

kajikubali ndio maana kafanya hivyo..
 
Nilitaka kushangaa pimbi kama ben pol kapata akili wapi ya kuandika nyimbo kama ile.sasa nimeamini
 
Iyo kazi ni ya lucci ni mcopiaji mzuri wa beat za watu wala sishangai ! Bt nice work ben
 
hold on a minute gyz.... kwa hiyo wimbo huu mmoja tu ndo umezifuta zake zote kali za nyuma

..... Pete... Samboira....Nikikupata......... etc.

Hakika nchi hi si nzuri kwa wasaniii,, Na sisi wenyewe ndo tunawasababishia STRESS.....mpaka wanaamua anza matumizi ya vileo...

Ben Pol endelea na kazi.. Songa mbele.. evrybody has haters. JESUS had haters,who r we??????
 
hold on a minute gyz.... kwa hiyo wimbo huu mmoja tu ndo umezifuta zake zote kali za nyuma

..... Pete... Samboira....Nikikupata......... etc.

Hakika nchi hi si nzuri kwa wasaniii,, Na sisi wenyewe ndo tunawasababishia STRESS.....mpaka wanaamua anza matumizi ya vileo...

Ben Pol endelea na kazi.. Songa mbele.. evrybody has haters. JESUS had haters,who r we??????
Diamond is a genius, alipoana NATAKA KULEWA itachafua brand yake , haraka akatoa nyimbo ya KESHO ili kuziba zile tuhuma za kuiba nyimbo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom