Msanii Barnaba atanisamehe katika hili

Huwa hatoi kafara kama wengine...
 
Hii comment ikafanyiwe lamination na kubandikwa ukutani kwa kila mpenda mziki mzuri.[emoji868][emoji868][emoji868][emoji118]
 
Barnaba, Damian Soul Na Grace Matata ni miongoni mwa wanamziki wachache tulionao katika nchi hii.

[emoji117]Hao sio tu ni wasanii bali ni classic artists kama mwenyewe barnaba anavyojiita, nimewahi kuwa karibu na grace, kama unaujua mziki wake basi mwenyewe hasikilizi mziki mwengine wowote kwa concentration zaidi ya ule anaoimba yeye, nyimbo nyengine anazosikiliza ni zile tu soul songs kwa sababu ndio nyimbo zake, ziwe za kiingereza au kiswahili, yuko very classic. Lakini kwa wasiopenda nyimbo zake wataona tu anawapigia kelele.
 
Huyu Barnaba si ndio ameolewa juzijuzi hapa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…