'wee inaonyesha ni mzee flani wa maofisi ya maghorofani kabisa mitaa ya posta aisee hauwajui kabisa hawa jamaa wa kitaa si ndio............la sivyo utakuwa mmaza flani labda ticha hivi au mtu wa dini kabisa type za kilokole hauko na mambo ya kidunia safi sana,ni msanii kafa'
Ngwea alikuwa ni miongoni mwa wasanii wachache wa bongo niliokuwa nawakubali sana. Huyu kijana alikuwa na kipaji kisichokuwa na shaka hata kidogo. Sema baada ya kuanza kutumia ile kitu, matatizo yakawa yameanzia hapo!

Hahaha, umenichekesha Mkuu, Kusema kweli ni wachache wasiomfahamu huyu kijana, hata sisi wa kitambo tunamkumbuka kwa sababu ni mmoja wa vijana wa mwanzo kuigaiga miondoko ya vijana wa US, wakiwa na wakina Noorah, na Rah P, na mdada gani yule alikuwa Mzuri sana mweupe anatoka Shinyanga kama skosei. Enzi hizo miziki yao inapigwa sana kwenye televisheni ilikuwa haiepukiki kuwafahamu, labda kama una matatizo mengine!
Maelezo ya awali yanaonesha ni Sembe ndiyo inaweza kuwa chanzo, vijana mjiepushe kabisa na unga, ni heri weed kuliko UNGA.