Wasanii wa Tanzania tujifunze kuishi maisha ya uadilifu majanga ya Madawa ya Kulenya sasa imekuwa zaidi ya zaidi, Ray C alikaribia Kufa, Q.Chillah na yeye kaponea tundu la sindano bado kuna msululu mrefu ya wasanii wetu mnatumia madawa ya Kulevya acheni jamani nyinyi ni kioo cha jamii kwa matukio haya jamii mnaifunza nini, kifo ni kifo lakini inategemea umekufaje kwa hili la madawa ya Kulevya sio kifo kizuri ni kifo cha aibu duniani na mbele ya mwenyezi mungu. R.I.P Ngwear.