Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 528
heshima mbele wakuu natakiwa kuripoti JKT msange 823 kj ....wakuu naomba maelekezo iko pande zipi huko Tabora na usafiri mimi natokea Arusha.
Mi naijua ilipo, kwanza niambie we ni shabiki wa chama gani cha siasa
Kuna mdogo wangu pia kapangiwa huko hebu tupasheni habari
heshima mbele wakuu natakiwa kuripoti JKT msange 823 kj ....wakuu naomba maelekezo iko pande zipi huko Tabora na usafiri mimi natokea Arusha.
amesharipoti mkuu maana mm form ndio nimeipata ...!