CaptainDunga
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 1,589
- 1,397
Hahahaha kuna mizigo mingine ukiipata unajikuta unajifanya ww ni Lab Technician unaupima ngoma kwa macho tuu(na kujifariji huu mzigo hautakuwa na ngoma).......unaingia na ndomu zako Hotelini unatoka nazo bila hata kuzigusa/kuzitumiaMsambwanda kama huu unaweza kuulia na ugali.
Dadeki......hapo kitu lazima itafutwe kwa tochi.Nakuona... nakuonaa...
View attachment 564806
.......sababu ya msingi.......kuogopa ushindani toka nje?Mama watoto wako yuko vizuri, mke atakiwi kuwa mzuri sana wala kuwa mbaya sana.
Hahahahhhahahahahhahahaha Dah JF bhana ni zaidi ya burudaniChezea smelter wewe?? Lazima ufanye timing kabla ya kuchenjua... Hapa naona mchimbaji anafanya sala ya toba kabla hajaingia mgodini. Ni kufa na kupona.
.......sababu ya msingi.......kuogopa ushindani toka nje?
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
Jamani ubonge mnausema vibaya...Ni kibonge balaaa, dah! Sikumfaham kwa sura, sauti kapewa lakini ubonge huo..lol
Endelea tuuUmeniita, nije au niendelee na safari yangu?
Sijausema vibaya, mimi napenda bongez, mbaumbau hapana aisee.Jamani ubonge mnausema vibaya...
Hapo Sawa....Sijausema vibaya, mimi napenda bongez, mbaumbau hapana aisee.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Kama huendi pemba
Msambwanda hauna maana
Mi hoi..jamani!! Unamaanisha hiyo avatar ni wewe
Mlemavu huyoHapana... mimba ni hii bhana...
Wakubwa wanafaidi asee