Msambazaji vitabu anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msambazaji vitabu anahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MarkD, Oct 15, 2012.

 1. M

  MarkD Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Hallow kama una ndugu ama jamaa anayetaka kufanya kazi ya kusambaza vitabu kwa muda wa wiki moja kwa malipo mazuri mjulishe tuwasiliane kwa 0712 066 064 au 0753 12 54 74. Hakuna elimu yoyote inayohitajika. Muhimu ajue maeneo mbalimbali ya jiji la dar es salaam atakako elekezwa kupeleka vitabu hivyo.
   
 2. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  nipo tayari,,naitwa chuck henry...pls let talk
   
 3. L

  Latifa2 Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  naitwa latifa niko tayar
   
 4. f

  focus ngajimala Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nataka kufanya hii kazi tafadhali wasiana na me kwa 0718293901
   
Loading...