MSAMAHA

Nina rafiki yangu wa hivi, nilipogundua ndivyo alivyo niliamua mimi kumuelewa. Hivyo alikuwa akinikosea basi mimi ndio naomba msamaha lakini nitahakikisha namfundisha kuwa yeye ndio alinikosea.
Taratibu alijifunza kupitia hilo na hata yeye huwa anakiri kuwa mimi ndio nilimfundisha kuomba msamaha. Kitu alichokuwa hawezi hapo awali.

Mimi ndio rafiki yake pekee wa muda mrefu maana wengine wote alishavurugana nao.
Umefanya vema, mi pia hata nikikuomba msamaha nitahakikisha unakua kua umekosea.
Ila wengine wababe jamani especially wanaume .Yani kosa linaelekea kwake kabisa ila kukiri na kusema samahani hahahahahaha kati ya 10 labda mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah, kwa baadhi ya wanaume hili ni tatizo kwao. Ila ukimpata anayejua maana na thamani ya msamaha ni raha sana.
 
Umefanya vema, mi pia hata nikikuomba msamaha nitahakikisha unakua kua umekosea.
Ila wengine wababe jamani especially wanaume .Yani kosa linaelekea kwake kabisa ila kukiri na kusema samahani hahahahahaha kati ya 10 labda mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huyo mmoja mwenyewe ni mimi.
Meghan naomba unisamehe mpnz, najua ilikua ni bahati mbaya tu iliyokufanya uchepuke dear, najua umekwazika sana kwa kosa nlilolifanya la kuja kukufumania, sikukusudia mpnz wng bali ni upendo wng wa dhati ndio ulionifanya nije kushuhudia kwa macho yangu jinsi unavyonisaliti, ila kuanzia leo naapa sitarudia tena kukufatilia unapokua na michepuko yako honey, please forgive me.

Maendeleo hayana chama
 
kuna na wale ambao wanapenda wawe wanaombwa msamaha wao tu kila siku hata kama wao ndo wenye makosa.
Au unakuta mtu umejishusha umeomba msamaha hata kama kosa ni dogo tu ila mtu bado anabeba kitu moyoni na kuifanya kama ndo fimbo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wako hivo....nikigundua una tabia hizo, nakufutilia mbali na msamaha sikuombi!

Mambo ya kuabudu mtu mi sinaga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama uko kuchwani kwangu nawaongelea watu design hiyo. Muda wote anataka yeye aombwe msamaha, haoni kua yeye pia anamapungufu na hata mnapoliangalia kosa anali "frame" in way that wewe ndo unakua umebeba lawama .Yani anaona kama kukubali kua amekosea itamshushia points.

Sent using Jamii Forums mobile app
Piga chini huyo...kishost changu pia kina tabia hizi, sasa hivi nakiangalia tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha Umenikumbusha demu wangu mmoja alkua mlokole cku moja j2 kaenda kanisani mchungaji akamwambia amepewa maono kene ndoto kua mwanaume anae date nae sio chaguo la mungu.
Kesho yake akarudi akaniambia mm sio type yake akasenipiga kibuti kwa mbwembwe zote.
Baada ya Miezi miwili yule mchungaji akamtongoza yule demu wangu.
Demu akanirudia analia anaomba msamaha turudiane kwasababu amegundua kua yule mchungaji akua na nia nzuri.
Cku hyo ndo niliwajua wanawake wakoje.
#true story
Ulimsamehe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina rafiki yangu wa hivi, nilipogundua ndivyo alivyo niliamua mimi kumuelewa. Hivyo alikuwa akinikosea basi mimi ndio naomba msamaha lakini nitahakikisha namfundisha kuwa yeye ndio alinikosea.
Taratibu alijifunza kupitia hilo na hata yeye huwa anakiri kuwa mimi ndio nilimfundisha kuomba msamaha. Kitu alichokuwa hawezi hapo awali.

Mimi ndio rafiki yake pekee wa muda mrefu maana wengine wote alishavurugana nao.
kivuruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah!mm hua msamaha nautoa kulingana na kosa lenyew,iv mtu nmekufumania na kenge flan hiyo roho ya kusamehe inatoka wap?huwa inakua iv,kwa watu tunasamehe lkn kwa unafiki mkubwa kwan akijarudia kakosa kadogo tu huwa unamkumbusha yaliyotokea ss hapo ulisamehe kwel?m naona bora mtu umchane tu kua kosa lako cwez kusamehe over
 
Nilimsamehe kwasababu nilikua nampenda ila ckufichi ni ngumu sana kumuamini tena mtu wa dizaini hyo, ni ngumu sana.Ile situation hua inajirudiarudia mara kwa mara akilini mwangu.
Love iliyokuepo mwanzoni si kama iliokuepo baada ya hyo issue kutokea.
Pain changes people, niamini ninachokuambia witnesJ.
 
Back
Top Bottom