I interconsult Senior Member Joined Dec 8, 2017 Posts 112 Reaction score 154 Dec 9, 2017 #1 Je ni sahihi kikatiba na sheria za tanzania, raisi kusamehe waliohukumiwa kunyongwa. kama ni sahihi nin mtizamo wenu wajamvi inapotokea ukakutana na mtu aliyeua mpendwa wako alaf eti kaachiwa kwa msamaha wa raisi.
Je ni sahihi kikatiba na sheria za tanzania, raisi kusamehe waliohukumiwa kunyongwa. kama ni sahihi nin mtizamo wenu wajamvi inapotokea ukakutana na mtu aliyeua mpendwa wako alaf eti kaachiwa kwa msamaha wa raisi.
THEGENTLEMAN1996 JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 518 Reaction score 593 Dec 9, 2017 #2 kitakacho tokea ni kwamba "ntakumbuka sheria za nchi tu"