Msamaha wa kodi ya kiinua mgongo kwa Wabunge, Mawaziri, Rais, Wakuu wa Mikoa na Wilaya wafutwa

Existentialist

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
554
377
Waziri wa fedha akijibu hoja zilizotolewa na wabunge leo ametangaza rasmi viongozi wote wakuu wa serikali kuanzia Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, na Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na wabunge wote viiunua mgongo vyao kukatwa kodi!

Hii ni baada ya wabunge kulalamika iweje wao wakatwe kodi na kuwwacha viongozi wengine wa kisiasa kukatwa kodi.



==========



Zoezi la upigaji kura kwa bajeti ya 2016/17

 
Waziri wa fedha akijibu hoja zilizotolewa na wabunge leo ametangaza rasmi viongozi wote wakuu wa serikali kuanzia Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu, na wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na wabunge wote viiunua mgongo vyao kukatwa kodi! Hii ni baada ya wabunge kulalamika iweje wao wakatwe kodi na kuwwacha viongozi wengine wa kisiasa kukatwa kodi
Kwa kiasi gani, tusije kuwa tunashangilia kumbe ndio yale ya tutoka asilimia 11 to 9. "Buku jero"
 
Back
Top Bottom