Msamaha wa aina hii una siri gani kwa mwanamke?

Msamaha wa aina hii una siri gani kwa mwanamke?

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
^^
Mwanamke anapoteleza kibinadamu,akagundulika na anapobainika kuwa uongo,ujanja wake umefahamika,basi atatangatanga,ataumia kutoa machozi n.k. Kama ilivyo tu kwa upande wa mwanaume anapofumaniwa au kuumia pale anapomkosea mwanamke ambaye anampenda kwa dhati
...
Linapokuja suala la mwanamke kuomba kusamehewa iwe ni katika mahusiano rasmi (ndoa) au yasiyo rasmi (yanayohusisha kukutana kimwili) basi mwanaume unaweza kusema 'Nimekuelewa mpenzi,na nimekusamehe!',,Mwanaume ukiishia hapo tu,,hilo halitoshelezi.
...
Katika kufuatilia mahusiano mengi,wanawake wanafurahi na kuridhika ikiwa Msamaha utahusisha kukutana kimwili.Baada ya hapo kila kitu huwa kimeisha,furaha inarejea na yote huisha.
Je,wanawake,kuna siri yoyote iliyojificha hapa au unamfikiria vipi mpenzi wako asiyekutimizia msamaha wa aina hii?
Tuelimishane.
^^
 
Mi bado cjakutana na msamaha wa namna hii,em ngja 2wasubiri!
 
Mi bado cjakutana na msamaha wa namna hii,em ngja 2wasubiri!

^^
Munkari aaaa! Unani-let down,,mpenzio akikusamehe kosa lako na asiwe nawe kimwili for months, inachukuliaje?
^^
 
Last edited by a moderator:
Kuna maana gani kula, ukatafuna halafu usimeze?
Maana ya kula ni utamu au ni kushiba ili usife na njaa?
 
sio kila jambo unalofanya personal linajitokeza kwenye maisha ya watu wote
 
^^
Munkari aaaa! Unani-let down,,mpenzio akikusamehe kosa lako na asiwe nawe kimwili for months, inachukuliaje?
^^

inategemea eti lakin! Ntachukulia kawaida tuu! Huenda anaumwa ama sababu nyingne ,sidhani kama sex pekee inakamilisha msamaha i don believe! Interesting! Cku moja nikiwa katika mahusiano ckumbuki kosa my ex alinipigaje tena kwa mkanda wa suruali dah nlilia wee! Mapenzi bana unajua nilibembelezwaje? Tehteh ! Watoto wapo breaktime! Ntamalizia wakilala!
 
Last edited by a moderator:
hodi wenyeji!, mi mgeni kidogo pande hizi mnipokee.

kukutana kimwili baada ya msamaha mi naona inatokana na jinsi mwanamke anavyobembeleza kuhurumiwa wkt wa kuomba msamaha, lazima tu mpenzi atahamasika na kuishia ktk tendo. isipotokea mi ntahisi km sijasamehewa ki ukweli, bado ana dukuduku.
 
Back
Top Bottom