Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,823 Reaction score 55,617 Aug 1, 2018 #21 Kisasi ni cha Mungu mwenyewe, vingine tunajitakia ndio maana mioyo inapondeka
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,618 Reaction score 18,557 Aug 1, 2018 #22 snowhite said: NA UNAPATA AMANI YAKO POA TU,SIO? Click to expand... Kama kawa.
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,422 Reaction score 25,338 Aug 1, 2018 Thread starter #23 Dreka said: Kama kawa. Click to expand... Na kimsingi ndilo linalotafutwa!! BRAVO!!
HB wa kigogo JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 2,489 Reaction score 6,251 Aug 1, 2018 #24 1. Hapana 2. Hapana 3. Sijui 4.hapana 5. Ushindi 6. Hapana 7. Inategemea 8 ndio ila sina uhakika
W wiseman734 Senior Member Joined Apr 29, 2018 Posts 137 Reaction score 210 Aug 1, 2018 #25 Yaani kuna kenge aliutia jiraha moyo wangu nimeshindwa kumsamehe kabisaaa, moyo wangu una uchungu saana kwa alichonifanyia sina amani wala sisongi mbele, lkn pia sifikirii kulipa kisasa wala sijawahi Katika Maisha yangu
Yaani kuna kenge aliutia jiraha moyo wangu nimeshindwa kumsamehe kabisaaa, moyo wangu una uchungu saana kwa alichonifanyia sina amani wala sisongi mbele, lkn pia sifikirii kulipa kisasa wala sijawahi Katika Maisha yangu
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Aug 1, 2018 #26 Jolie Jolie said: Unaweza pia usisamehe na usilipe kisasi. Japo utabaki na chuki na manung'uniko moyoni. Hapa na mimi bado nafikiria kama chuki ni kisasi au lah Click to expand... Chuki ni kisasi, ina maana kwamba unapomchukia lazima utamuwazia mabaya hapo umelipa kisasi cha dhamira
Jolie Jolie said: Unaweza pia usisamehe na usilipe kisasi. Japo utabaki na chuki na manung'uniko moyoni. Hapa na mimi bado nafikiria kama chuki ni kisasi au lah Click to expand... Chuki ni kisasi, ina maana kwamba unapomchukia lazima utamuwazia mabaya hapo umelipa kisasi cha dhamira
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,618 Reaction score 18,557 Aug 1, 2018 #27 charminglady said: Chuki ni kisasi, ina maana kwamba unapomchukia lazima utamuwazia mabaya hapo umelipa kisasi cha dhamira Click to expand... Shikamoo
charminglady said: Chuki ni kisasi, ina maana kwamba unapomchukia lazima utamuwazia mabaya hapo umelipa kisasi cha dhamira Click to expand... Shikamoo