Msama promotions, Kwanini mnachanganya dini na siasa?

Kwa kweli huu ni ujinga
Nilipanga niende ila baada ya kuona harufu ya siasa nikaona huu upumbavu..
Muda wa kumpa Mungu ati tuanze kusikiliza serekasi za siasa..watugeuze mazombie ya kupigia siasa zao.

Miaka yote wanakuwepo tu viongozi wa kidini,,
Mwaka huu wanapachika wanasiasa,,
Nao walivyotaka kucheza na akili za watu sasa,wameita waimbaji wenye ushawahi na kumpeleka Mwamposa ambaye kwa sasa ana ushawahi sana nchini.

Hili tamasha wasingeanza kuchapika siasa kisanii basi nahisi lingebamba zaidi ya litakavyokuwa..

huyu msama yuko kijaasiriliamali .

Amna kingine
 
Dini ya wanyonge hiyo, kila mtu huchezea jinsi anavyotaka halafu wenye dini yao wapo kimya tu. Dini ya wenzetu upande wa pili huwa haijaribiwi , hawataki utani na dini yao.
 
Dini ya wanyonge hiyo, kila mtu huchezea jinsi anavyotaka halafu wenye dini yao wapo kimya tu. Dini ya wenzetu upande wa pili huwa haijaribiwi , hawataki utani na dini yao.
Wao wenyewe ni tatizo,oooh yesu Mungu,,andiko linasema Mungu si mtu,wenye akili kubwa wakaona wacheze na akili zao zilivyo,

Kwa Nini uvunje vidole mechi ya kirafiki.
20230324_092143.jpg
 
Back
Top Bottom