Hongera sana, tumeona jinsi ulivyomshambulia mmiliki mwenzio wa gazeti kuwa anadaiwa mishahara na wafanyakazi wake, Mbona wewe haujatulipa tangu Mwaka jana, tunakuandikia habari, makala, na michoro haulipi? Unatumia pesa kuhonga wabunge eti unawapa pesa za mafuta, au kusaidia vituo vya watoto yatima, lakini aibu huna haulipi mishahara hata kidogo, ndio maana gazeti lako halina waandishi wa kudumu na makala za kudumu. Kila siku unabadilisha. Mabadiliko uliyotaja kwa mwenzako, umetumia chombo chako kumshambulia mmiliki mwingine, na wewe onyesha mfano.