MSALATO

MSALATO

Elly Corner

Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
36
Reaction score
35
Wasalaam waungwana, nina mdogo wangu kachaguliwa kwenda msalato, nina wasiwasi kwasababu kuna taarifa zinasambaa kwamba mwanafunzi akishindwa kuthibitisha nafasi yake kabla ya june 10 basi kuna uwezekano wa nafasi yake kupewa mtu mwingine.

Je, ninaweza vipi kuthibitisha uteuzi huu ili nafasi ya mdogo wangu isije kwenda ma maji?

NOTE: Pia kama kuna mtu ana mawasiliano na mwalimu yeyote wa msalato nitashukuru sana akinipa ushirikiano wa kuunganishwa nae.
 
Sasa wewe kushindwa kuripoti na hofu ya mdogo wako kwamba hahachaguliwa kureport vinahusianaje??? Wewe kama umeona jina lake kwenye selection kachaguliwa msalato na huamini sasa bhasi mpeleke Kibaha boys au mzumbe..
 
Wapo wenye majibu, tuendelee kusubiri.
 
Ooh,mi nliona waraka unasema kwa form five wataanz ripot kuanzia july 8 hadi july 28,then baada y hapo kama atakua hajaripot ndio nafas yake itachumuliwa n mwingne ,lakn kuhusiana na kudhibisha nafas aliyo changuliwa mwanafunz nkwa wale walio chaguliwa vyuo tu ,na sio form five kwa form five nkuriport shule kwa hizo tareh zilizopangwa na hakuna kudhibitisha nafs kwa njia ya mtandao mwanfunz aliyo chaguliwa
 
yeye aende kuripoti alafu arudi kujipanga kama hatokei mbali
ila kama anatokea mbali aripoti hivyo vingine mtamtumia
uzuri wa serikali haikufukuzi hata kama huna ada
 
Back
Top Bottom