Msalaba

Huamini katika kumuombea mtu mkuu? Prayers change things Cc: Arabela

Mungu atusaidie sisi wa kiume tusizifahamu siri hizo.
Hivi Mentor ulikuwa unamaanisha kumbadili mtu through prayers? Ni kazi honestly, na inahitaji moyo mkuu kuuchukua mzigo wa mtu mwingine na kumuombea, ila tunzo yake pia ni kubwa sana. Huku kwenye urafiki inatia moyo kama unayemuombea na yeye awe anajiombea, hata ikitokea ameanguka tena nafsi yake inamuuma and mpo wawili kusaidiana kumnyanyua tena, so mzigo unapungua kidogo. Ingawa kwenye ndoa, inatokea mara nyingi tu mmoja ndo anabeba mzigo wa wanandoa wote na ndoa inaponyeka, and you should be well prepared for that, maana na wewe ukilegea tu ndoa chaliii. Me niliongelea kumbadilisha mtu kidigitali, mara sijui namdhibiti blah blah blah, au ile unaona kabisa hapa kushney ila unajipa moyo kuwa ndani ya ndoa atabadilika.
 


Sijasema kuwa haiwezi kunitokea mimi. Ni kwamba hata ikitokea, nitakuwa all right.
 
Faith moves mountains!
 
Kwa sababu Mentor ni askari pia
Kaka Mentor, Bwana wetu Yesu Kristo Asifiwe......!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…