Huamini katika kumuombea mtu mkuu? Prayers change things Cc: ArabelaWadada wa kilokole waache kuchagua chagua kama unataka mlokole mwenzio tafuta humo kanisani kwenu,.. eti ntamuombea abadilike hilo sahau!
Mungu atusaidie sisi wa kiume tusizifahamu siri hizo.Mama zetu wana siri nyingi na nzito mnoo! Mungu wasaidie tu kwa kweli mama zetu hawa
Akili za kuzaliwa na macho ya rohoni kipi kinaona zaidi? Huu mkasa usingekuwa kisa cha ukweli mimi nisingeamini. Maana niliwaza sana ilikuwaje huyu binti hakutaka kuwafahamu wakwe?sure, wadada wengi wa kilokole wameumizwa kwa mazingira haya, anakuja mhuni anamtaka anavaa kiheshima na kuhudhuria ibada kwa kipindi kifupi ili mdada aamini kuwa jamaa kaokoka then kinachofuata hapo ni kilio na kusaga meno kwa mdada. walokole punguzeni imani sana wakati mwingine tumieni akili za kuzaliwa kupambana na ulimwengu huu, walimwengu wa sasa hawaogopi kutumia njia za kiibada kufanikisha mambo yao
Mkuu imeandikwa, "Mke mwema (R) mke mwema ..." Hilo la mume silisemei.Huwa nasikia mke/mume mwema hutoka kwa bwana. Sasa hapa yamewakuta "watu wa bwana". Damn!
Mkuu imeandikwa, "Mke mwema (R) mke mwema ..." Hilo la mume silisemei.
That aside, tunaponea wapi? These could have hapenned to a brother..,you for instance.
nimekumiss sanaEither way.
Yeah man, it could happen to any brotha. I don't know about others, but I'm for 100 I'll be all right. Survival of the fittest(literally), I guess.
k ukimuona mpe hay sana mwambie nina majanga naomba ushauri wake
Either way.
Yeah man, it could happen to any brotha. I don't know about others, but I'm for 100 I'll be all right. Survival of the fittest(literally), I guess.
I assumed majanga yake yana uhusiano na masuala ya Kimapenzi/Mahusiano.
Nyie mnaonga'ng'ania kuolewa, hivi mnajua mnachokililia?? tuulizeni wenzenu tulio ndani ya ndoa. Unakuta janaume mshahara halina wa kutosha, jingine elimu hakuna, kila kitu unafanya wewe kuanzia kufikiri adi kutenda. Unyumba wenyewe wa booking linajiweza siku mbili au tatu kwa mwezi, zilizobakia utajijuu!!Hili langu lalavi kutwa linalala na kukoroma utazani linataka kurest in peace. Basi bora lingekuwa bonge ningesema sawa. Na ikitokea tukatawanyika sijishughulishi tena kutafuta janaume lolote yataishia kuniangalia tu mxiuuu! nyie nganganieni tu kuwekwa ndani na hiyo mipumbu siku zaja mtalia na kusaga meno..vilio vya mbwa midomo juu!
bak mwenyewe ndo wewe..... huna kitu kwenye majanga .Nope that's not me.
bak mwenyewe ndo wewe..... huna kitu kwenye majanga .
sipo interested.......Tatizo la watu humu ni kudhani wanakufahamu wakati hawakujui hata chembe.
sipo interested.......
Mkuu mimi hakuna anaeweza kunbadili kwa maombi labda niamue tu mwenyewe,mambo ya imani huwa siyaelewagi kabisaHuamini katika kumuombea mtu mkuu? Prayers change things Cc: Arabela
Mungu atusaidie sisi wa kiume tusizifahamu siri hizo.
Before muendelee. Sikumaanisha WEWE ndo una majanga but I know when it comes to the area of ushauri hasa kuhusu masuala ya mahusiano/mapenzi na kama unataka serious ushauri basi mtu akuone wewe au The Boss. Sikuwa na nia ovu!!!