Msala ambao siwezi usahau kamwe

Nilipokuwa mdogo katika michezonya kibaba tulioana Mimi na mtoto wa Mama yangu mdogo[emoji1][emoji1787]

Sitosahau tulipiga denda French kiss chini ya shuka[emoji1787][emoji1787]

Ile incident inatembea Hadi Leo japo tukikutana no salamu tu sijui yeye anakumbuka[emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu ungeenda kusomea upadri tu sasa
 
Nimempenda maza wako
 
Dah nmecheka sn mkuu, aisee umenikumbusha mbal sn izo mambo zakutega vibaruti, ila hii invention yako ilikua next level yakutumia jek ilokufa.
 
hahahahaha asee jamaa umenikumbusha mbali sana misala kama hii ndio utajua nguvu ya ushikaji......nakumbuka miaka flani nasoma advance niko form six nina kadem kangu form five shule moja na maskani kwa mjomba nilipokuwa nakaa kipindi hiko nina kademu kengine form four nikawa nacheza game kote sasa ikaja ikatokea nikawapa wote mimba ndani ya mwezi mmoja madem wote wana vibendi kudadek na kibaya maisha ya boading sina hata shilingi mia ya kusema nitalipia galama za abortion...... ila katika maisha ya shule nguvu ya ushikaji huwa ni kubwa sana ikabidi nikae chini na mwanangu tupange cha kufanya.....jamaa akanishauri tudeal kwanza na ka olevel ndio hakajakomaa akili.. alafu yule wa advance nimwambie akaze azae mimi nimikimaliza pepa niondoke nae maskani yaani nimuoe,,,,maana dakika za mitihani ya kidato cha sita ilikuwa imekaribia,,, hii jamaa alinishauri nifanye hivyo maana dem wa advance atajiongeza ila ka olevel ukikaambia ni kweli katakaza haya bana gemu ikaanza sasa anaoaje jamaa angu akaniambia akichemsha majivu na chumvi nyingi itatoka ikabidi nimsemeshe dem nimpange ili atoe na jamaa angu aliniambia hii njia ni hatari dem anaweza kufa kwa hiyo kabla hajanywa chochote inabidi kwenye simu yake usionekane ushahidi wa mawasiliano yangu basi bana nikampanga dem kila kitu akaandaa alafu nikamwambia afute sms zote na call history ikitokea amezidiwa wasione kitu na asinitaje, ndo dem katoa ila ishanlah alipona japokuwa aliponea chupuchupu na hakunitaja kabisa japokuwa kwao walimkuta katika hali mbaya....kazi ikabaki kwa yule dem wa advance nikamkazia akomae nayo nikimaliza pepa nasepa hom na akigundulika akafukuzwa aunganishe nyumbani tukakubaliana ila dem baadae alijiongeza mwenyewe siku moja kanipigia simu kadai alikuwa anacheza na mwenzie bwenini akaangukia tumbo cha ajabu akashangaa dam zinatoka na mimba ikatoka, nilizuga kama nimemind ila mission ikawa complited..... ujana una mambo mengi sana nilikuwa namwambia nitamuoa na hom sina hata kitanda wala chumba'. watoto wa shule wanawazia ngono tu

Sent from my SM-G988N using JamiiForums mobile app
 
kuna kota fulani za tanesco sehemu zilikuwa wazi nyumba kama nne hivi,nikiwa mkubwa tu wa form 1.nikagundua uwepo wa nyuki katika moja ya paa la nyumba zile.

kusogea karibu nagundua kumbe wapo pale na wamezalisha na asali kabisa,nikatafakari nini nifanye ili kuivuna asali ile,sijui tu ilikuwaje[emoji23]nikachukua manyasi nikayafunga kwenye fito ndefu nchani na kuyatia moto yakaanza kufuka moshi.mchana wa saa saba jua kali ng'ai ng'ai,baharia nataka niwatapeli nyuki asali yao,naona wakasemezana,sijakaa vyema nikachezea kama misumari mitatu hivi ya mkononi na usoni,nikaachia fito na kutoka mbio[emoji2091][emoji2091][emoji2091],hapa ndio niriharibu shughuli sasa.nyuki walisambaa wakafunga mtaa mzima,nikaingia ndani na kuanza kupiga kelele watu wafunge madirisha na milango,bahati yao waliwahi.

sasa aina ile ya kota madirisha yalikuwa ya vioo,watu wote ndani tukawa tunashuhudia watu wanavyopewa kibano na jeshi lililochokozwa mchana wa jua kali,kota zile zilikuwa jirani na za jeshi.wanajeshi waliokuwa wanatoka uraiani kwenda kambini kwao,walikutana na wanajeshi wenzao ambao wamevurugwa zaidi[emoji23][emoji23].basi movie ikawa ni kubwaga baiskeri na kutimua mbio itakavyowezekana maana jamaa wanaupiga mwingi sio kawaida.
muda ambao nilijutia upuuzi nilioufanya ni wakati ambao dada wa makamo akiwa na mtoto mgongoni na kuni na jembe katoka shamba,akakutana na wataleban wale,walimpa vitu mpaka akabwaga mtoto chini mbiooo[emoji24][emoji24][emoji24],mtoto akawa analia pale chini,nyumba zote tukaanza kupiga mayowe asimwache pale lakini hasikii maskini,ole wako ufungue hata kioo kimoja waingie ndani,utajua hujui[emoji16]lilikuwa tukio baya sana.Mungu mkubwa nyuki wakiwa kwenye taharuki namna ile huwa hawa deal na adui aliyelala.kwahiyo mtoto yule alilizwa na majeraha ya kwanza akiwa mgongoni.aliposhushwa hakuguswa tena.

wale jamaa walitawala anga wakafanikiwa kuchukua nchi ile kwa masaa kadhaa,mpaka jioni saa 11 ndio tukaanza kuona kama pilika zinarudi,watu wanapita bila pingamizi.yule mtoto kalia pale chini mpaka sauti imekauka,tukafungua vioo kwa machale,na kuanza kuelekea kule aliko,tunamkuta hajajeruhiwa kiivyo,ana kauvimbe tu kisogoni.mama yake alirudi usiku kumfata.

kesho yake nikawa mpole sana,jamaa mmoja akaniuliza,uliishawahi ona wapi asali inavunwa kienyeji mchana!!!nimetoa macho tu.
 
Daa nimecheka kichizi, jamaa ulitaka kuchukua Mali ya watu mchana kweupe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
WWe
We Jamaa Wewe🤣🤣🤣🤣🤣
 
Akili za wanawake wanazijua wenyewe. Wengi hufanya maamuzi ya kuwaletea majuto sana Baadae
 
Dah.... JF.... Halafu Kuna mijitu ilitaka kuua Huu mtandao.... Wafe wao... Hawajui jinsi Gani Familia ya JF Tunaburudika Humu ndani na kusahau Mambo ya too na stress zingine
 
Nimecheka kifala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
No salam inamaana alichukia mpka leo
 
Dah wee boya umenichekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee, huu msala walikufanyia unyama sana kaka

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…