Msako wa ajira za viwandani

centry

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
246
334
Hii ni tanzania ya viwanda hata kama hakuna viwanda vya kutosha,
Huu ni muda muafaka wa vijana kutafuta kazi za viwandani hapa mjini dsm iwe ni day shift au night shift.
Kwa kusaidiana hebu tutaje majina ya viwanda na location zake ili iwe rahisi kwa mtu yeyote kwenda hapo kuomba ajira physically.
Nawasilisha.
 
Ungeanza wewe mleta sredi kwa kutaja walau kiwanda kimoja na location yake
 
Nendeni Mkuranga. Wachina wamefungua viwanda kibao vya kutengeneza Yebo yebo huko!
Nashukuru sana mkuu kwa taarifa naomba hata unipe direction kidogo huko mkuranga maeneo gani. Ntafarijika sana kufanya kazi na wachina
 
Nenda pale Mbagala upande gari za Mkuranga. Ukishaanza kuona viwanda ujue umefika. Serious viko viwanda vingi na hivi karibuni kuna kiwanda cha kutengeneza chumvi kitafunguliwa. Unaweza ukapata ajira pale...
 
Nashukuru mkuu naandaa bahasha anytime kuanzia kesho ntafika maeneo husika. Nawashauri wadau wengine tuungane tusake.
 
Back
Top Bottom