Msaki wa Kibo complex anafadhili uharamia Tegeta

nndondo

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
1,251
895
Kibo Complex, Hamkani Si Shwari Tena
Habari
Za kuamnikika ni Kwamba kimekua Na matukio ya wateja Na watu wanaofika Kibo complex pale Tegeta kuvamiwa, Kupigwa Na kufanyiwa uharamia wa ajabu Na Mtandao ulioundwa is na kufadhiliwa Na Mkurugenzi wa Kibo complex. Tayari watu zaidi ya Watano wameelezea Kuwa passport sababu wamevamiwa, kusukumwa Na kusukwasukwa Kwa Lengo la kushambuliwa Na kudhuriwa. Wakati hayo yanafanyika walinzi na mabaunsa wanakuwepo wakiwaangalia na hata kuwasaidia wahalifu Kwa kuwakamata mikono Ili kuwazuia wasijitetee. Eneo linalotajwa kufanyika untamable Huo ni lile la club ya usikose, na corridor zake. Wakati ushenzi Huo unapokua ukiendelea polisi wanakuwepo wameshapigiwa Simu na Msaki mwenyewe,wanatokea Na moja Kwa moja kwenda kuwachukua hao wateja na kuwapeleka Kituo cha Wazo. Huko wanakuta mashtaka ya kufanya Fuji na kuharibu Mali Za Msaki na hivyo kudaiwa fidia ya Kati ya she's millions 5 na 10. .

Ushahidi upo
Tayari wateja Watano waliofuata Huduma Hapo wametaarifu kupatwa na Mkasa Huo. Pamoja and Madai hayo Mkuu wa Kituo hicho ambaye Ndio aliyewasomea mashtaka watu wote hao Watano anadai dau la million I moja ili akupe dhamana. Hivi sasa kuna wateja wawili wako Hapo Wazo polisi tangu ijumaa mpaka Leo. wamekosa shs millions 5 wanazoombwa, wameshatoa mil 3.

Askari wa wazo wanafahamu Mradi huu Na wengine wanasononeka
Polici wengiwa Kituo wa Wazo wanaujua mchezo huu na wengine hawautaki. Mchezo Mzima unafadhiliwa na Msaki na kutekelezwa na Mkuu wa Kituo . tunataka Msaki ache mchezo Huo Mara moja la sivyo tutalazimisha afunge hiyo biashara,

Jeshi la polisi lisichafuliwe
IGP afuatilie na kumchukulia hatua Mkuu wa Kituo ya kumfukuza jeshi maana ni jambazi, wanachishindwa Kuweni macho kuna Shida Kwa Msaki yawezekana anadaiwa damu. Waombaji sugueni magoti tuepushwe na maovu anayotupangia Huyu Bwana Mdogo. Msaki acha mara moja hiyo tabia Yako
 
msaki? hilo jina tu linaonyesha ni muhalifu...kuna majina mengine ngumu sana kuwa mbali na uhalifu..hilo ni mojawapo.!
 
Mmh hatar sana aisee ngoja tuone itavyokuwa mana lisemwalo lipo kama halipo linakuja
 
Kibo Complex, Hamkani Si Shwari Tena
Habari
Za kuamnikika ni Kwamba kimekua Na matukio ya wateja Na watu wanaofika Kibo complex pale Tegeta kuvamiwa, Kupigwa Na kufanyiwa uharamia wa ajabu Na Mtandao ulioundwa is na kufadhiliwa Na Mkurugenzi wa Kibo complex. Tayari watu zaidi ya Watano wameelezea Kuwa passport sababu wamevamiwa, kusukumwa Na kusukwasukwa Kwa Lengo la kushambuliwa Na kudhuriwa. Wakati hayo yanafanyika walinzi na mabaunsa wanakuwepo wakiwaangalia na hata kuwasaidia wahalifu Kwa kuwakamata mikono Ili kuwazuia wasijitetee. Eneo linalotajwa kufanyika untamable Huo ni lile la club ya usikose, na corridor zake. Wakati ushenzi Huo unapokua ukiendelea polisi wanakuwepo wameshapigiwa Simu na Msaki mwenyewe,wanatokea Na moja Kwa moja kwenda kuwachukua hao wateja na kuwapeleka Kituo cha Wazo. Huko wanakuta mashtaka ya kufanya Fuji na kuharibu Mali Za Msaki na hivyo kudaiwa fidia ya Kati ya she's millions 5 na 10. .

Ushahidi upo
Tayari wateja Watano waliofuata Huduma Hapo wametaarifu kupatwa na Mkasa Huo. Pamoja and Madai hayo Mkuu wa Kituo hicho ambaye Ndio aliyewasomea mashtaka watu wote hao Watano anadai dau la million I moja ili akupe dhamana. Hivi sasa kuna wateja wawili wako Hapo Wazo polisi tangu ijumaa mpaka Leo. wamekosa shs millions 5 wanazoombwa, wameshatoa mil 3.

Askari wa wazo wanafahamu Mradi huu Na wengine wanasononeka
Polici wengiwa Kituo wa Wazo wanaujua mchezo huu na wengine hawautaki. Mchezo Mzima unafadhiliwa na Msaki na kutekelezwa na Mkuu wa Kituo . tunataka Msaki ache mchezo Huo Mara moja la sivyo tutalazimisha afunge hiyo biashara,

Jeshi la polisi lisichafuliwe
IGP afuatilie na kumchukulia hatua Mkuu wa Kituo ya kumfukuza jeshi maana ni jambazi, wanachishindwa Kuweni macho kuna Shida Kwa Msaki yawezekana anadaiwa damu. Waombaji sugueni magoti tuepushwe na maovu anayotupangia Huyu Bwana Mdogo. Msaki acha mara moja hiyo tabia Yako
Mtoto wa kiume wa msaki tunae huku kinzudi majengo anatengeneza bodaboda kwa kujikimu mahitaji yke uliniona utazani chokoraa ukimwambia mbona baba yko tajiri akuwezeshi kwenye miradi yke anachekacheka tu Kama punguani ,wenzie kijiweni wanamtania wanasema msukure wa msaki
 
hiyo ni kawaida kwa watoto wa matajiri

Unaweza kuta kamsumbua baba yake mpaka kaamua kumzira
 
Back
Top Bottom