Msajili wa vyama vya siasa nchini apinga CUF kufukuza wabunge wawili

Trump's account on African leaders is very true although piercingly painful. The aim of many of our leaders is accumulating wealth and fame.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ninavyooma wapinzani wanatumia siasa za kiustaarabu sana na kiungwana, manake hawa watawala wanavyotumia ubabe na kuwaonea, naona wao wapo kimya tu, laiti wangekuwa nao wanatumia ile ya jino kwa jino sijui hii nchi ingekuwaje,

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
hivi lipumba huwa anaenda zanzibar

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
umenena mkuu, sasa hivi cuf ya seif kufanya hivyo ni mapema sana, nadhani ndio kitakachotokea 2020, na cuf itarudi kule kule kukosa viti takriban vyote, kwani wanayofanya akina lipumba tunayaona na tumekaa kimya tu tunasubiri muda

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Barua haimtambui maalim kama katibu mkuu alafu hiyo hiyo barua inamtambua maalim kama katibu mkuu.

Tz bado hatujabarikiwa
ndio yale ya mdee kusema kuna watu wana phd za hovyo

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Maarim ajiandae kupokea barua ya kufutwa uanachama.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Angeawafuta uwanachama wale wabunge wa kuchaguliwa kwanza waliofunguwa ofisi yao mpya. Hana uwezo huo kwa sababu anajuwa impact yake itakuwa ni kubwa mno kwa maslahi ya nchi. Anachofanya Lipumba na wanaomtuma ni kuzorotesha CUF na sio kuiuwa kwa sasa hivi. Na kama kweli walitaka kuiuwa angefukuza wabunge wote ambao hawamuungi mkono, ruzuku atazitowa wapi na ndizo anazolilia?
 
Cuf ya Lipumba itabebwa na ccm kwenye uchaguzi wa 2020 lakini kwa hakika watapoteza viti vingi na mpangi wa ccm utakuwa umefanikiwa!
 
Cuf ya Lipumba itabebwa na ccm kwenye uchaguzi wa 2020 lakini kwa hakika watapoteza viti vingi na mpangi wa ccm utakuwa umefanikiwa!
ndio hilo mkuu, pa1 na kubebwa lakini waamuzi ni sisi wananchi tunaoona hizi rafu, manake sielewi siku akienda pemba itakuwaje, niliwahi kusikia akienda unguja gari za watawala zinaenda mchukua mlangoni mwa ndege na kutoka nje na vile vile akirudi gari linaenda mpaka mlangoni mwa ndege, niliwahi ona uzi humu ndani shuhuda 1 akisema aliyeona, sasa hapo kuna nini, kwanini watawala ndio waende wampokee tena kwa kufanya siri wakati wananchi wanaona, naomba hizo njama wazijaribu na kwa chadema
 
 
Magdalena Sakaya, Maftaha Nachuma na Lipumba hawa wote wamenunuliwa na wanaotumiwa na CCM. Maalimu Seif asitegemee kutendewa haki. Huyu Mutungi ni kama Lipumba dhambi zao zitawatesa huko mbele.
 
Nadhani jaji mtungi hajitambui kwa sababu barua kaandika kwenda kwa katibu mkuu wakati huo huo katika maelezo yake eti hamtambui katibu mkuu, kichefuchefu kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipumba anamtambua Maalimu lakini msajili hamtambui Maalimu? huyu naye kweli alikuwa Jaji kabisa na alikuwa anatunzwa kama Jaji?
Suala sio kutambulika, suala ni anayetekeleza majukumu ya katibu mkuu. Msajili anamtambua Seif kama ktb mkuu Bali hatambui kama amesharudia katika majukumu yake yaliyokaimishwa kwa Sakaya. Over
 
A
Nadhani jaji mtungi hajitambui kwa sababu barua kaandika kwenda kwa katibu mkuu wakati huo huo katika maelezo yake eti hamtambui katibu mkuu, kichefuchefu kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Umechemka. Anamtambua vizuri kama ktb mkuu Ila nje ya ofisi maana majukumu alikaimishwa Sakaya. So mpaka ukaimu utenguliwa ndipo at a exercise duties. May be yupo likizo ama mgonjwa;mambo ambayo hayamfanyi kupoteza ukatibu mkuu wake.
 
WASOMI NA WAELEWA TU WATAUNGANA NAMI.
Mutungi yuko sahihi. Anamtambua Seif kama ktb mkuu, Ila ktb mkuu aliye nje was utekelezaji wa majukumu. Mfano mtu akiwa mgonjwa, safarini au masomoni kisha akakabidhi au kukaimisha majukumu. Sakaya alikaimishwa tu, na hii haimfanyi Seif kupoteza cheo chake bali hatoweza kutekeleza majukumu yake mpaka pale barua iliyomkaimisha Sakaya itakapotenguliwa kwa barua ya kuyarudisha majukumu kwa Seif itakapowasilishwa na mwenyekiti maana barua yoyote ya Seif kwa sasa kabla ya kutengua ile iliyomksimidha sakaya haina uzito
 
Uko sahihi, Maalim kwa sasa si chochote wala lolote, sema wanaogopa kumfukuza. For the time being he is a toothless dog...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…