Msajili wa Vyama vya Siasa akemea Tamko la CHADEMA

Msajili wa Vyama vya Siasa akemea Tamko la CHADEMA

Alexandry Nemesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,508
Reaction score
590
Tamko la Ofisi ya msajili kuhusiana na Maazimio ya CC Ya CHADEMA.
IMG_20160728_165001.jpg
IMG_20160728_165022.jpg
 
Sijawahi kuona ofisi hovyo kama hii, eti tangazo la serikali namba 215 la mwaka 2017!!!. Hii inaonyeshwa alivyokurupushwa na Sendeka atoe tamko
Hahahaaaaaaa,nimecheka sana!Hiyo ni dalili ya kukurupushwa!
 
Wameshaanza kutoa matamko .. Kuhusu UKUTA.. Bado hapo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ma rpc wote lazima watoe matamko kuhusu UKUTA.. Dadeki
 
Kusema kutukua na mikutano nchi nzima ni matusi,kashfa na uchochezi?
Kashfa zilizotolewa na CCM kwenye mkutano wao kinyume na agenda ya mkutano wao huyu msajili alikua kimya sasa leo watu wanataka kutimiza wajibu wao kisiasa anakuja na tamko la kipuuzi.
 
Ukiondoa kusema kuwa huu ni upuuzi mtupu na mapungufu ya kihoja na mantiki ya hoja henyewe, mimi nina mashaka kama hii press release imetolewa na msajili wa vyama vya siasa!!

Haina headed paper ya ofisi ya msajili na haijulikani imesainiwa na nani. Ni wazi wazee wa kitengo wako kazini na wanaanza kutafuta namna ya kuwa defensive ikibidi kuzuia kabisa kilichokusudiwa na CHADEMA ktk harakati zao za UKUTA!!

Ni yale yale kama ya MARUFUKU YA POLISI KWA MIKUTANO YA KISIASA vs MKUTANO MAALUMU WA TRH 23/7/2016 vs BAVICHA/CHADEMA!!
 
duuuh moto wa UKUTA unahitajika.. viongoz wa dini tafadhari wamuonye dikteta huyu.. ona sasa watu wanavyofanya kazi kwa woga
 
Kila jambo kama huendani nalo ukizuiwa utaona unaonewa maana kila siku Tanzania tumezoea siasa hata ktk mambo ya msingi,,,by #Yetumacho
 
Back
Top Bottom