Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Chadema wana akili sana.Cdm wasiache washikilie hapo hapo No reforms na election. Lazima vibaraka wa ccm wote wajitokeze.
Wanasheria wote wabobezi nchi hii wapo CHADEMA. Wanamuangalia tu Msajili anavyoingia chaka na wapuuzi wenzake waliowekwa na CCM.
Hili suala halina mantiki yeyote wanazidi kuwafanya wananchi wajue kweli kuna shida kwenye mfumo wa Sheria za Uchaguzi na Demokrasia kwenye nchi hii.
Wamepigwa upofu ili wasione mbele.