PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.

IMG_3682.jpeg
Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza Kuu Taifa kilichofanyika Januari 22, 2025 kwamba kilikuwa batili kwa sababu hakikutimiza masharti ya Katiba ili kuwa kikao halali.

Soma, Pia: Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

Pia, Mchome alidai kikao hicho ndani ya ukumbi walikuwepo wanachama ambao siyo wajumbe na baadhi ya watu hao walipiga kura kinyume na matakwa ya katiba ya chama hicho.

IMG_3683.jpeg
Barua iliyosainiwa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza imekitaka Chadema kujibu barua ya Mchome kwa muda usiozidi Machi 31, 2025.

Soma:

Chanzo: Mwananchi
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.

View attachment 3281915

Hapa nilitarajia nione barua ya msajili kwenda kwa CPA kutaka ajibu juu ya monkey pox na murburg?
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.

View attachment 3281915
Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza Kuu Taifa kilichofanyika Januari 22, 2025 kwamba kilikuwa batili kwa sababu hakikutimiza masharti ya Katiba ili kuwa kikao halali.

Soma, Pia: Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

Pia, Mchome alidai kikao hicho ndani ya ukumbi walikuwepo wanachama ambao siyo wajumbe na baadhi ya watu hao walipiga kura kinyume na matakwa ya katiba ya chama hicho.

View attachment 3281919
Barua iliyosainiwa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza imekitaka Chadema kujibu barua ya Mchome kwa muda usiozidi Machi 31, 2025.

Soma:

Chanzo: Mwananchi
Ila kumpa makalla mda wa kudeal na kauli zake ahhhhh? Double standards yaan
 
Kumekucha
 
Ndo mana nawaelewa sana CHADEMA na ajenda yao ya No Reform No Election

Huu ni uthibitisho mwingine wa mchana kweupe kuwa mfumo wa demokrasia wa nchi hii umehodhiwa na CCM kwa nia ovu dhidi ya Watanzania.

Nia yao ni kuwafanya CHADEMA waanze kuhangaikia ujinga na upuuzi unaoratibiwa na CCM na hiyo Ofisi ya Msajili.

Uzuri Watanzania tunaujua ukweli na CHADEMA haiwezi kurudi nyuma kwenye ajenda za msingi za kulilomboa Taifa lwtu kutoka kwa mkoloni mweusi.
 
Mutungi ameshaanza ule usengerema wake tena kuivurugua Chadema kama alivyofanya kuivuruga CUF.
Hatofanikiwa.

Hakuna Uchaguzi ambao Watanzania wote walisema kwa kauli moja ulikuwa uchaguzi huru na haki kama uchaguzi wa Chadema.

Kila kitu kilifanywa kwa mujibu wa taratibu na wote tuliona tena live.

Anachofanya msajili hatofanikiwa na ameshafeli kabla ya kuanza.
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.

View attachment 3281915
Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza Kuu Taifa kilichofanyika Januari 22, 2025 kwamba kilikuwa batili kwa sababu hakikutimiza masharti ya Katiba ili kuwa kikao halali.

Soma, Pia: Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

Pia, Mchome alidai kikao hicho ndani ya ukumbi walikuwepo wanachama ambao siyo wajumbe na baadhi ya watu hao walipiga kura kinyume na matakwa ya katiba ya chama hicho.

View attachment 3281919
Barua iliyosainiwa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza imekitaka Chadema kujibu barua ya Mchome kwa muda usiozidi Machi 31, 2025.

Soma:

Chanzo: Mwananchi
Vipi na ya CCM itajibiwa lini
 
Back
Top Bottom