Msajili wa vyama, huwatetei akina Sophia Simba, mbona Lipumba ulimtetea?

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
915
752
Embu angalia haka kamchezo, BWANA YULE aliachia madaraka ya uenyeki taifa, baadae akarudi wakati CUF wakiwa wamejipanga vinginevyo serikali kupitia Msajili wa vyama ikaingilia kati kuwa ati inamtambua BWANA YULE.

Embu iingilie kati kufukuzwa kwa wanachama wa CCM pia, si inauwezo wa kuingilia mambo ya vyama.
 
Embu angalia haka kamchezo,BWANA YULE aliachia madaraka ya uenyeki taifa,baadae akarudi wakati cuf wakiwa wamejipanga vinginevyo....serikali kupitia msajili wa vyama ikaingilia kati kuwa ati inamtambua BWANA YULE...


Embu iingilie kati kufukuzwa kwa wanachama wa ccm pia,si inauwezo wa kuingilia mambo ya vyama....
Jamani mie ninaachwa sana kwa mambo ya "current affairs". Mnijuze, hivi Sofia Simba kwani katemwa?
 
Teh teh majaabu haya yapo Tanzania tu

Aguse aone moto wa mwenyekiti wao
 
Hapo sasa,

Pia msajili mbona haidhinishi pesa za ruzuku ya ccm ziingizwe kwenye account ya bank ya ccm wilaya?
 
Embu angalia haka kamchezo,BWANA YULE aliachia madaraka ya uenyeki taifa,baadae akarudi wakati cuf wakiwa wamejipanga vinginevyo....serikali kupitia msajili wa vyama ikaingilia kati kuwa ati inamtambua BWANA YULE...


Embu iingilie kati kufukuzwa kwa wanachama wa ccm pia,si inauwezo wa kuingilia mambo ya vyama....
....lakini si bado mapema sana mkuu tukio lenyewe ndo kwanza limetokea leo ngoma bado mbichi kabisa...
Hebu tumpe muda kidogo pengine yupo anajipanga
 
Hivi nyie nyumbu mna akili kweli?uenyekiti wa UWT na Msajiri wa vyama wapi na wapi?au ndio upofu tu je uenyekiti wa UWT,Jumuia Ya wazazi,Bavicha,UVCCM unatambuliwa kisheria na kikatiba kwenye sheria za usajiri wa vyama?acheni kurukia yasiyo wahusu hangaikeni na ya kwenu.
Kwa hio msajili huwa anawatetea wenye viti tu si ndio point yako?
 
Nasubiri nione kama Msajili wa Vyama vya Siasa atatimiza majukumu yake kisheria ya kuwarudisha wanachama Na viongozi wa vyama vya siasa wanapokuwa wametimuliwa kwenye vyama vyao.Tulishuhudia Msajili akimrudishia Uenyekiti wa CUF Prof.Lipumba licha ya kufukuzwa Kwa mujibu wa katiba ya CUF je Msajili atawarudisha hawa wa CCM?
 
Mkuu ni vyema ukatambua kuwa CCM ni chama makini hakifani maamuzi kwa pupa na kukurupuka kama CUF na CHADEMA ambao hushia kuwa na migogoro na wanachama wake. Kumbuka vyama hivi vya siasa vinatofautiana sana na CCM kwa sababu vyenyewe ni SACCOS na wamiliki wake wanafahamika kwa majina.
 
Back
Top Bottom