Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
- Thread starter
-
- #21
Kutumika kubaya sana,kama alishindwa kutunza siri ya kuwa na ule waraka wa mabadiliko mpk ukaja kushikwa umakini wake nautialia shaka sana
Huyu ni mzuri kwa matumizi ya papo kwa hapo ila ya badaye hafai
vigazeti vya udaku bana bila kuandika habari ya CDM havimalizi siku.
Katibu Mkuu ACT Samson Mwigamba ameibuka na kutoa pongezi rasmi kwa Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi kwa uamuzi wake dhidi ya Chadema.
Mwigamba amesema uamuzi wa Msajili ni Faraja kwake na ni ushindi mkubwa kwani mashtaka hayo aliyapeleka yeye.
Akizungumza jana Mwigamba alisema uamuzi wa msajili kutotambua mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2006 ya Chadema ni wa kuungwa mkono na kila mpenda demokrasia nchini.
Mwigamba ameonya ingawa yuko nje ya Chadema lakini ataendelea kuibua kila udhaifu ndani ya Chadema na anaamini msajili atafanyia kazi kwa maslahi mapana ya demokrasia nchini
Source:UHURU Jumatano
Wenye mamlaka na Katiba ya CHADEMA ni Chadema wenyewe kupitia vikao hasa Mkutano Mkuu.
Chadema itaendelea kuendeshwa kwa umakini wa kuzingatia misingi ya chama hasa Katiba ya Chama.
Chadema haiwezi kuendeshwa kwa ushauri wala kauli zisizo na msingi wowote kutoka kwa Msajili.
Kama CCM na vibaraka wao wanamuogopa Mwenyekiti Mbowe na Katibu Mkuu Dkt. Slaa, wanastahili pole.
Wenye kujua yupi ana sifa za kugombea na yupi hana, ni wanaCHADEMA kupitia vikao vyao vya Baraza Kuu na Mkutano Mkuu.
Eti kiongozi wa chama kinachojaribu kujionesha kuwa cha upinzani, ananukuliwa kwenye Gazeti la CCM akijivuna kupambana na Chama Kikuu cha Upinzani nchini, kisha mtu huyo huyo na wenzake wakiambiwa wanafanya kazi ya CCM wanang'aka! What a controversy.
Hii nayo ni facts zaidi
Sasa mwenye macho ambiwi Tazama hivi huyo atabisha kweli yeye si kibaraka wa ccm? Wampe kazi kabisa kwenye gazeti la uhuru ili waeze kujazana ujinga. Pilipili si yako inakuwashia nini
Tumaini
Inaashiria wewe una kichwa kigumu sana na sio mwepesi kuelewa jambo. Napata shaka juu ya uhalali wako wa kuifanyia kazi CHADEMA.
Kitu ambacho Mwigamba anasema ni kwamba, pamoja na kwamba yeye sio mwanachama wenu, lakini atahakikisha anayasema madhaifu ya CHADEMA kwa maslahi ya demokrasia.
Badala ya kutumia nguvu nyingi kukwepa hoja ya Mwigamba na kumtuhumu kuwa anatumiwa na CCM. Nadhani ni vyema nyinyi kama wana CHADEMA mkafanya jambo sahihi tu, it's simple.
Kama mnataka kuhalalisha utawala wa kifalme wa bwana Mbowe, angalau mfanye hivyo kwa njia halali zinazo kubalika. Sio mfanye mambo kinyemela.
Vikao halali vikae kupitisha hicho kipengere, na kama kikipita, basi msajili apatiwe muhtasari wake. Hilo likifanyika, hakuna atakae ibua tena hoja ya hicho kipengere.
Wenye mamlaka na Katiba ya CHADEMA ni Chadema wenyewe kupitia vikao hasa Mkutano Mkuu.
Chadema itaendelea kuendeshwa kwa umakini wa kuzingatia misingi ya chama hasa Katiba ya Chama.
Chadema haiwezi kuendeshwa kwa ushauri wala kauli zisizo na msingi wowote kutoka kwa Msajili.
Kama CCM na vibaraka wao wanamuogopa Mwenyekiti Mbowe na Katibu Mkuu Dkt. Slaa, wanastahili pole.
Wenye kujua yupi ana sifa za kugombea na yupi hana, ni wanaCHADEMA kupitia vikao vyao vya Baraza Kuu na Mkutano Mkuu.
Eti kiongozi wa chama kinachojaribu kujionesha kuwa cha upinzani, ananukuliwa kwenye Gazeti la CCM akijivuna kupambana na Chama Kikuu cha Upinzani nchini, kisha mtu huyo huyo na wenzake wakiambiwa wanafanya kazi ya CCM wanang'aka! What a controversy.
Hii nayo ni facts zaidi
Masikini Mwi-ccm ulisahau nini Chadema njoo uchukue soksi zako zinanuka magamba.
Mmejitakia wenyewe.
Muda huu mnaupoteza badala ya kujenga chama mnasolve migogoro.
Kuja kutamalaki 2015 hii hapa.
Poleni sana.
Mipango na mikakati ya Mzee Kinana ni hatari sana...wakija kustuka CCM watakuwa magogoni wanapunga upepo kwa awamu nyingine....
Ficha upumbavu wako lakini usifiche hekima yako.
Mbona huyu kibaraka wa CCM hatafuti madhaifu kwenye chama cha CCM?
Huna hadhi ya kujibizana na Tumaini Makene usijitafutie umaarufu usiokuwa nao!
Tumaini
Inaashiria wewe una kichwa kigumu sana na sio mwepesi kuelewa jambo. Napata shaka juu ya uhalali wako wa kuifanyia kazi CHADEMA.
Kitu ambacho Mwigamba anasema ni kwamba, pamoja na kwamba yeye sio mwanachama wenu, lakini atahakikisha anayasema madhaifu ya CHADEMA kwa maslahi ya demokrasia.
Badala ya kutumia nguvu nyingi kukwepa hoja ya Mwigamba na kumtuhumu kuwa anatumiwa na CCM. Nadhani ni vyema nyinyi kama wana CHADEMA mkafanya jambo sahihi tu, it's simple.
Kama mnataka kuhalalisha utawala wa kifalme wa bwana Mbowe, angalau mfanye hivyo kwa njia halali zinazo kubalika. Sio mfanye mambo kinyemela.
Vikao halali vikae kupitisha hicho kipengere, na kama kikipita, basi msajili apatiwe muhtasari wake. Hilo likifanyika, hakuna atakae ibua tena hoja ya hicho kipengere.
hakika kumbe kufukuzwa kwako toka chadema kunakuumiza sana kaka.ni kwanini usizidi kuibua hoja na mbinu zakuimarisha chama chako cha ACT?maana kuibua madudu ya chadema hakutakusaidia lolote kwenye medani ya siasa.
Wewe una hadhi gani kibaraka mkubwa wa mbowe zaidi ya kufua nguo za mahawara wa mabwana zakoFicha upumbavu wako lakini usifiche hekima yako.