Ndo kusema Magdalena sakaya alivyopewa ukatibu wa cuf na lipumba,mtungi haku pewa taarifa na lipumba,kama alipewa alimtambua sakaya kama katibu mkuu wa cuf au hakumtambua?.na mbona hilo mtungi hakulitolea ufafanuzi?.Lini msajili hakumtambua maalim?
Amani na utilivu ni faida kubwa sana kwangu.Utafaidika na nini kama mmoja wao atafungiwa kufanya siasa? au na wewe ndo wale mliojitoa ufanhamu...... eti uchumi wa TZ unapaa!! Bure kabisa
Nonsense..Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Msajili ndo anatakiwa kujibu.Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
.....like your name.., Nonsense..Nonsense to your mind not others
Wazo zuri, lakini unadhani hao akina Mutungi watakipa usajili?
Mkuu hiki chama aka manyumbu aka magambaz kukanyagana bila police na jeshi ni wepesi kama ile karatasi nyeupe ya chooni.acha na wewe kuchekesha.....watu kufanya usafi ofisi yao , inahusiana na nini?,,,,,polisi kufanya kazi saa 24/7, bro
Sahihisho: Zanzibar ndio makao Makuu ya Chaa cha CUF na sio ofisi ndogo ya CUFKinachomleta maalim Buguruni kuja kusafisha ofisi ni kipi ilhali Zenji kuna ofisi ndogo za CUF?
Nakubaliana na wewe kama ingekuwa Msajili sio sehemu ya Mgogoro.Lakini yeye ndio alioupalilia mgogoro hup kwa kukikuka misingi ya Sheria, mipaka ya kazi yake na kulenga kukomoa upande mmoja. Chama si Mwenyekiti wala Katibu Mkuu. Chama ni cha WANACHAMA na wamekwisha amua kwenye vikao halali kwa kumfukuza uwanachama Lipumba.Sasa unaoendelea ni usanii tu wa chama Tawala kuhodhi na kupenda kukumbatia na kuvitetea vile vyote vya haramu.Wito wa msajili kwa ajili ya mazungumzo ya suluhu ni muhimu sana.
Refer chama cha CCJ kilivyozinguliwa katika usajili baada ya kuhisi kwamba kingemega wafuasi wengi wa CCM. CUF-maalim bado wana option nzuri tu kwa maoni yangu. Itakapokaribia uchaguzi wa 2020 na ikaonekana kwamba huu mgogoro wao bado moto. Wanaweza kuicha CUF na kujiuga na Chadema kama chama kimoja. Na maalimu ataweza kubaki na wafuasi wake na ataweza kugombea uraisi Zanzibar na atakuwa tishio vilevile.Mimi si mtaalam sana wa mambo ya usajili wa vyama, lakini nafikiri msajili hana mamlaka ya kukataa maombi ya usajili wa chama kama kinakidhi sifa kwa mujibu wa sheria. Lakn, wait a minute, Nafikiri Mkuu una point, Tanzania kitu chochote huwa kinawezekana, kwa hiyo unachokisema ni sahihi...
Huyo msajili mwenyewe ni mchonganishi na anapendelea upande mmojawapo aache unafiki!Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Japo ni jinai, wahusika wakikubaliana kupatana nje ya mahakama, ni jambo la busara. Tuwaachie waamue.maalim hana haja kuhudhuria mkutano huu
mgogoro wote umeletwa na mutungi na lipumba...na zaidi kuna kesi mahakamani
tukio alilofanya lipumba ni la jinai-uvamizi...linapaswa kushughulikiwa kama jinai na sio mgogoro
Gazeti lipi? Jifunze kuja na habari za kutosheleza.Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.