1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 611
Mbeba sumu huwa unalipwa kiasi gani kwa post?
Last week nilikuwa maeneo ya boko nilikutafuta wakaniambia uko bize sana...
Ndugu Lukosi unajidharaulisha sana kwa umri wako na kauli unazotoa,jaribu kua mjenga hoja,umri wako haupaswi kua na fikra na kauli za kitoto tena za mtoto ambae bado hajajitambua