Msajili aomba Mwongozo CHADEMA

Msajili aomba Mwongozo CHADEMA

Ni vizuri Msajili ameomba ufafanuzi maana walitegemea atafanya kazi kwa hisia zao

Sidhani kama Msajili angekua mjinga maana Moto wa CHADEMA anaujua.Ni lazima afanye kazi kwa taratibu na kuweka wazi kila hatua vinginevyo.....!
 
Wewe utatembea na sumu hadi kifo chako
 
CDM hatulipwi na mtu,tunafanya kazi kwa mapenzi yetu wenyewe! Tofautisha CDM na chama cha MIZIGO tafadhali.Lipaneni tu BK 7 hapo lumumba lakini tambueni 2015 baada ya kutoka madarakani mtasota sana na nawashauri wale lumumba fc waanze kutafuta ajira mapema.
Kwa hiyo mnalisha watu sumu bure halafu jasho lenu mabwana zenu wanaenda kuvinjari na mahawara dubaiv
 
Jadili mada ni si kujifanya poyoyo! sh.nziii mzigo wewe
Pole sana. Mnalo mwaka huu.jibuni hoja za mkakati wa mabadiliko na zile za mwigamba. Ww utaishia ku brush viatu vya bwana hadi uzeeni mchumia tumbo wewe
 
Ufisadi CHADEMA tukiyajibu haya 2015 asubuhi tunachukua nchi
FREEMAN MBOWE, KIONGOZI ALIYEFANIKIWA KUIFISIDI CHADEMA KWA KUWAAMINISHA WANACHADEMA KUWA MIGOGORO YOTE INAYOTOKEA CHADEMA NI MPANGO WA CCM

Mara zote Mbowe na Slaa wakiulizwa kuhusu migogoro inayoendelea Chadema wao jibu lao ni moja tu “Ni mipango ya CCM kutuvuruga Chadema ni tishio kwao”

Mwanachademe unayejitambua jibu haya:

1. Hivi CCM wanahusikaje na kunyofolewa kinyemela kwa kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chadema? (Je Mbowe anatumika pia?)

2. CCM wanahusikaje na suala la Mbowe na Slaa kujikopesha ruzuku?

3. CCM wanahusikaje na kuchagua wabunge wa viti maalum Chadema kwa udugu?

4. CCM inahusikaje na suala la Chadema kutokukaguliwa mahesabu yake?

5. CCM inahusikaje na mradi wa uchangishaji wa M4C kutokuwa na ripoti yoyote / mrejesho wowote kwa wanachama wa chadema?

Hapa utaona kinachofanyika ni viongozi wa juu wa chadema kuitumia CCM kama kichaka cha kuficha ufisadi wao kwani kila anayeonekana kuzungumzia mapungufu na ufisadi wao anaitwa Msaliti/mhaini anatumiwa na CCM.

5. Hamuoni kuwa Mbowe anaitumia CCM kuficha ufisadi wake ndani ya Chadema ?

-Suala la Ukomo wa Katiba kunyofolewa ni hila za vibaraka wa CCM kusema kitu ambacho hakikuwepo baada ya kuwaahidi CCM kuwa kulikua na ukomo kwa hiyo viongozi hawa wenye misimamo mikali hawatakuwepo.Kisha baadae wakaanza kutafuta namna maana hela za watu wameshachukua.No way

Suala hili lipo kwa msajili

-Suala la Ruzuku ni lilishajadiliwa na kufika mwisho huku

-Suala la viti maalumu vigezo vya kitaalamu viliwekwa na Dr.Kitila Mkumbo

-Suala la Mahesabu na Ruzuku Naibu Katibu Mkuu wa ZAMANI ambaye pia ndie mwenyekiti wa PAC anaweza kutoa maelezo maana yeye alikua ofisini wakati huo
 
Pole sana. Mnalo mwaka huu.jibuni hoja za mkakati wa mabadiliko na zile za mwigamba. Ww utaishia ku brush viatu vya bwana hadi uzeeni mchumia tumbo wewe

Poleni sana.Hatujibu uchafu wa watu waliofukuzwa kwa Aibu kubwa ya kufungia mwaka!
 
Ufisadi CHADEMA tukiyajibu haya 2015 asubuhi tunachukua nchi
FREEMAN MBOWE, KIONGOZI ALIYEFANIKIWA KUIFISIDI CHADEMA KWA KUWAAMINISHA WANACHADEMA KUWA MIGOGORO YOTE INAYOTOKEA CHADEMA NI MPANGO WA CCM

Mara zote Mbowe na Slaa wakiulizwa kuhusu migogoro inayoendelea Chadema wao jibu lao ni moja tu “Ni mipango ya CCM kutuvuruga Chadema ni tishio kwao”

Mwanachademe unayejitambua jibu haya:

1. Hivi CCM wanahusikaje na kunyofolewa kinyemela kwa kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chadema? (Je Mbowe anatumika pia?)

2. CCM wanahusikaje na suala la Mbowe na Slaa kujikopesha ruzuku?

3. CCM wanahusikaje na kuchagua wabunge wa viti maalum Chadema kwa udugu?

4. CCM inahusikaje na suala la Chadema kutokukaguliwa mahesabu yake?

5. CCM inahusikaje na mradi wa uchangishaji wa M4C kutokuwa na ripoti yoyote / mrejesho wowote kwa wanachama wa chadema?

Hapa utaona kinachofanyika ni viongozi wa juu wa chadema kuitumia CCM kama kichaka cha kuficha ufisadi wao kwani kila anayeonekana kuzungumzia mapungufu na ufisadi wao anaitwa Msaliti/mhaini anatumiwa na CCM.

5. Hamuoni kuwa Mbowe anaitumia CCM kuficha ufisadi wake ndani ya Chadema ?

Hizi ni Zilipendwa Njoo na Single nyingine!
 
Ni vizuri Msajili ameomba ufafanuzi maana walitegemea atafanya kazi kwa hisia zao

Sidhani kama Msajili angekua mjinga maana Moto wa CHADEMA anaujua.Ni lazima afanye kazi kwa taratibu na kuweka wazi kila hatua vinginevyo.....!

Amechukua Tahadhari kubwa kwa sababu anajua kilichomfika Tendwa alipogomewa na CHADEMA mpaka akatimuliwa kwa Aibu bila heshima yoyote!
 
Back
Top Bottom