watu type ya willy na wewe kwa kutafuta wanaume wenzenu hamchoki...
Ufisadi CHADEMA tukiyajibu haya 2015 asubuhi tunachukua nchi
FREEMAN MBOWE, KIONGOZI ALIYEFANIKIWA KUIFISIDI CHADEMA KWA KUWAAMINISHA WANACHADEMA KUWA MIGOGORO YOTE INAYOTOKEA CHADEMA NI MPANGO WA CCM
Mara zote Mbowe na Slaa wakiulizwa kuhusu migogoro inayoendelea Chadema wao jibu lao ni moja tu Ni mipango ya CCM kutuvuruga Chadema ni tishio kwao
Mwanachademe unayejitambua jibu haya:
1. Hivi CCM wanahusikaje na kunyofolewa kinyemela kwa kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chadema? (Je Mbowe anatumika pia?)
2. CCM wanahusikaje na suala la Mbowe na Slaa kujikopesha ruzuku?
3. CCM wanahusikaje na kuchagua wabunge wa viti maalum Chadema kwa udugu?
4. CCM inahusikaje na suala la Chadema kutokukaguliwa mahesabu yake?
5. CCM inahusikaje na mradi wa uchangishaji wa M4C kutokuwa na ripoti yoyote / mrejesho wowote kwa wanachama wa chadema?
Hapa utaona kinachofanyika ni viongozi wa juu wa chadema kuitumia CCM kama kichaka cha kuficha ufisadi wao kwani kila anayeonekana kuzungumzia mapungufu na ufisadi wao anaitwa Msaliti/mhaini anatumiwa na CCM.
5. Hamuoni kuwa Mbowe anaitumia CCM kuficha ufisadi wake ndani ya Chadema ?