Msaidizi! Kwa wahitaji tuu!!!

Mi nnatoa pongezi tu kwa huyo fundi wa charahani kwa kushona hilo gauni lake na zaidi ni mpiga picha wa huyo maamy na azidi kubarikiwa
 
Huyu ni mlemavu wa makalio! Ndio nini sasa hivi?
 
nilikuwa natafuta msaidizi wa kazi mahsusi kwa kupiga deki tu hapa nyumbani, nadhani huyu atanifaa...
 
ukiwa na mtoto kama huyu andika tu maumivu ya kichwa atakavyofukuziwa
 
...huyu atapata kazi za nje tu...
 
kazi za ndani siyo rahisi aziweze labda kazi za chumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…