Pole mpendwa ...miezi kadhaa tu utakua unajichekea mwenyewe!!!
Aisee hiyo story ya huyo mama inasikitisha!!Jamani wanaume nyie sijui wanawake wamewakosea nini!!
Huyo mama anahitaji lundo la faraja maana matatizo yote hayo anaweza akajimaliza wakati wowote.
Nashindwa kuendelea ngoja nisome some kwanza.......
Aisee hiyo story ya huyo mama inasikitisha!!Jamani wanaume nyie sijui wanawake wamewakosea nini!!
.
And it pains a lot, with lots of attention when a victim is a woman.
But when the reverse is the case its a rightful deed. Too bad that we men we rarely disclose our concerns.
Bana weee....hamnaAnd it pains a lot, with lots of attention when a victim is a woman.
But when the reverse is the case its a rightful deed. Too bad that we men we rarely disclose our concerns.
Bana weee....hamna
upendeleo ila hapa namfikiria mama wa watu tu....itakapokuja inayomhusu mwanaume nae atapata haki yake but untill then ntaendelea kujiuliza huyu mama alimkosea nini huyo mwanaume maana alivyomtenda......
Hamjambo wana Jamvi la MMU, nimepotea kidogo afya inasumbua na hii hali yangu. Leo nimepata kisa cha kusikitisha sana. Kuna mama mmoja ameolewa na watoto 2. Sasa wameanza ujenzi na mume wake, katika pitapita mafundi wamemwambia mumewe anaendaga site na binti ana watoto wadogo 2 na wanamwitaga baba. Katika uchunguzi inaonekana mumewe ana nyumba ndgo. Kumuuliza akamjibu lazima wapajue kuna leo na kesho,ndio ni watoto wangu. Mama wa watu keshainvest karibia robo tatu ya nyumba. Na mumewe kila siku analalamika hana pesa mama akipata anatupia mjengoni pamoja na mikopo. Mama keshakuwa frastruted anahama makanisa, keshatishia kujiua mara 2. Msaada wapendwa imeniuma sana.
Atahangaika, atachanganyikiwa, ataenda makanisa yoote, atamchukia mumewe, atahaha but ukweli unabaki kua kuweza tatua tatizo lake inabidi atulize akili na apunguze hizo hasira. Huyo mwanamke ina maana tayari ni mke mwenzake, akitaka apate haki yake kwenye hio nyumba akalishe hapo nyumbani - na huyo mwanaume atakua alifanya makusudi kuenda na watoto wa nje ili apate habari na sababu anamfahamu hasira zake, nia yake yaweza kua ili huyo mama aondoke - which akifanya itakua ushindi kwa huyo mwanaume...[/QUOTE]
Hapana Asha D,
Huyo mwanamume kama anawaza namna hiyo basi anajidanganya. Katika hili hakuna sababu ya kutafuna maneno..Sheria iko wazi. Kama huyo dada ni mke wa ndoa (tena ya mke mmoja au hakuna official report ya mke wa pili) basi anamiliki 50% ya hiyo nyumba. Ni wajibu na haki yake kudai hiyo shea yake na kuhakikisha kwamba kila kitu kinakuwa clarified. Akisubiri kudra za Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu, hatakuwa na mtu wa kulaumu isipokuwa yeye mwenyewe!!
Hapana Asha D,
Huyo mwanamume kama anawaza namna hiyo basi anajidanganya. Katika hili hakuna sababu ya kutafuna maneno..Sheria iko wazi. Kama huyo dada ni mke wa ndoa (tena ya mke mmoja au hakuna official report ya mke wa pili) basi anamiliki 50% ya hiyo nyumba. Ni wajibu na haki yake kudai hiyo shea yake na kuhakikisha kwamba kila kitu kinakuwa clarified. Akisubiri kudra za Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu, hatakuwa na mtu wa kulaumu isipokuwa yeye mwenyewe!!
Mzee DC mapenzi gani hayo yakuletewa watoto wawili kwenye ndoa na kimada kutembelea nyumba anayogharamia mama wa watu???Kwa style hii wengi watakufa kabla ya muda wao...wengine wataingia kwenye ndoa mguu ndani mguu nje wakati wengine tutagoma kabisa!!!Lizzy,
Hivyo ni baadhi ya vijimambo vya kwenye ndoa. Kutenda hayo maswahibu, ambayo wewe unasema ni kumetenda huyo dada si lazima akukosee. Tena unaweza kukuta huyo mume anampenda sana mke wake ila kuna kitu huyo nyumba ndogo anacho kinachomzingua.
Mke wa ndoa atafute msaada wa kisheria ili kila kitu kiwekwe wazi..black and white. Ila hata sisi tulioko nje au tunaotazama hiyo movie tujifunze kuishi maisha ya uhalisia..
Nachukia tabia ya kukimbia matatizo ingawa pia nachukia sana kuwatendea wenzangu mambo yanayoumiza mioyo yao beyond repair!
Mzee DC!!
Niliona uligeneralize ndo mana nikapata mzuka.Bana weee....hamna
upendeleo ila hapa namfikiria mama wa watu tu....itakapokuja inayomhusu mwanaume nae atapata haki yake but untill then ntaendelea kujiuliza huyu mama alimkosea nini huyo mwanaume maana alivyomtenda.......Jamani wanaume nyie sijui wanawake wamewakosea nini!!
.
Orait....next time ntapunguza munkari kabla sijachangia!!Niliona uligeneralize ndo mana nikapata mzuka.
Nadhani ilikuwa ni motherly feeling ilikupanda, it can be explained, stori ya mama huyu kama ni kweli inatia huruma
Mzee DC mapenzi gani hayo yakuletewa watoto wawili kwenye ndoa na kimada kutembelea nyumba anayogharamia mama wa watu???Kwa style hii wengi watakufa kabla ya muda wao...wengine wataingia kwenye ndoa mguu ndani mguu nje wakati wengine tutagoma kabisa!!!