Msaidieni kijana jamani

Sijaisikiliza, nimeona neno Mapenzi halafu naona mwanaume mzima anatoka machozi....... Ushauri wangu, 'TAFUTA PESA' .... Wanaolizwa na mapenzi 95% hawana pesa.... Huna pesa, unajidai kupenda mpaka unalia machozi.. huo ni usengemtupu
 
Mkuu ukiwa na pesa hata uwe mbaya vipi utagombaniwa tu.
 
Ndo manake yani.. ulimwengu wa sasa huna pesa--> huna matanuzi --> mboga saba zote za majani .... mapenzi hayo ya kweli yanatoka wapi??? Lazima ulizwe tu hakuna jinsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…