Nilikutana na rafiki yangu jana jioni..katika mazungumzo yangu aliniomba ushauri..nikaona ngoja niwashilishe kwa wadau..
Rafiki yangu huyu ana umri wa miaka 32.siku zilizopita alikuwa na marafiki wa kike(girlfriends)baada ya mda basi hakawa anatengeneza mahusianio yanavunjika baada ya mda..sasa yuko single ila shida anayoipata anasema amepoteza hamu kabisa ya kuwa na mahusiano na mwanamke..na wala ajisikii kuwa tena kwenye mapenzi..
Basi anasema huwa anasijikia furaha zaidi pale anapotoka na marafiki zake kuliko kuwa na girlfriend.
Sasa mtu wa namna hii unaweza kumsaidia namna gani li haweze kukurudia katika mahusiano isitoshe umri unakwenda inampasa hawe na family.
Y awezekana mkono wake ni mfupi, so anaona bora atoke na wanaume maana wana mzungushia na yeye hapendi gharama
Kaanza kuwa bwabwa nini? Inabidi mumchunguze vizuri
swala la kuwa ubwabwa sifikirii kabisa...na kwamaba anaogopa gharama hakuna kwa sababu anaishi maisha mazuri tu ya kisasa kama mtu anweza kufanya bisahara ya kupata si chini 7M faida kila mwezi huwezi kusema anakimbia gharama..Voiceofreason naona umefanya vizuri tu jamaa yangu inaonyesha wanamtenda kwa hiyo ameamua kupunzika..
Just for argument sake....mshauri amrudie mungu,kama muslim aswali swala 5,kama mkirsto mshauri ashiriki kanisani,siyo kwenda on sundays only,bali ajichanganye ktk social duties za kidini ,ajitolee japo 2hrs per week ,then ataona changes.kwanza atapata marafiki wa ukweli,then ataweza kudevelop social interactions.
haina haja ya kumsaidia, hana tatizo lolote....sasa sana kama anaweza kulea amzalishe girlfriend mmojapo maisha yaendelee...na hata hivyo kuzaa sio lazima sikuhizi...tunao watanzania mambumbumbu wakutosha.
Well kama VoR alivyosema kulazimisha mahusiano haitamsaidia!
Nyie marafiki zake kama mna mahusiano yenu ambayo ni mazuri itakua vizuri mkiwa mnayaongelea mara kwa mara...ili aone kwamba wapo wanawake ambao ni tofauti na huyo aliyemkatisha tamaa na kwamba nyie mnafurahia.
Kingine anaweza akawa na marafiki wa kike bila kua wapenzi....hii itamsaidia kuona tabia zao zinavyotofautiana.
Sa zingine hata mimi huwa sioni kama kuna ulazima wa kuwa kwenye mahusiano.
Nafikiri jamaa alikuwa anawahi kuanzisha uhusiano mpya pindi wa zamani ukivunjika.
Mwambie ajipe muda kwa sasa hata miaka 2 huku akiinteract na wasichana wengi wengi ili awajue hawa viumbe.
hivi nyinyi mmebadilisha jinsia? , heading ya sredi inasemaje?
aaah mwalimu. Hadi kwenye kuomba misaada mnatunyanyapaa.