abdi ally
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,563
- 2,169
Huyu kijana nilikutana nae katika gar miaka 5 imepita huko nyuma tukabadilishana mawasiliano kutokana na Kaz aliokuanafanya na mm kwa kazi niliokuwa nafanya zilishabihiana kiasi.
Tuliwasiliana kila wakati na hata alipotaka kuoa aliniambia na nikatoa mchango Kama rafiki wake wa karibu japo katika harusi sikuwepo kwa ajili ya majukumu ya kikaz.
Siku ,miez,mwaka ukapita juzi kanipigia simu ananiambia mkewe kawa kiburi kila wakati analalamika amechoka,ukimwambia kitu afanye atakwambia amechoka,anaweza akanuna bila sababu yeyote ya msingi.
Mnaweza mkawa ndani asianzishe mada mpka hutoe wazo mwanaume la sivyo kila mtu apo atakuwa bize na simu.
Unaweza ukamuita hata mara tatu asiitike hata Kama Yuko karibu mpka utumie sauti ya komand ndio aitike
Amejaribu mchunguza kwa kila namn a na kumshutikza katika simu yake hakukuta dalili ya mawasiliano ya mwanaume yeyote.
Ananiambia mkewe amekuwa kiburi Sana anaweza rudi na mzigo nyumbani na mwanamke akamuona na asimpokee mzigo na mwanamke akabaki anaongea na wenzie au kuchati na simu na akimuuliza jibu naomba nisamehe.
Akikosa na akikukwaza hawez omba msamaha na mnaweza kaaa siku hata tatu bila kuongea ila atapika,atafua,na kufanya usaf nyumba bila tatu.
Sasa jamaa amechoka ananiomba ushauri Mana had kwa mshenga kashepeleka taarifa na mwanmke alionywa akomba msamaha
Naomba tumsadie wadau afanyaje ili awe na furaha katika ndoa yake na ili hali mwanmke Ni single mother na jamaa anamcare mtoto wa mwanamke Kama mwanae.
Naleta kwenu wadau.