Msahada kuhusu bodi ya mkopo

Fadhili Jr

Member
Oct 14, 2019
96
25
Wakuu kwenye zile stage za kujaza kuomba mkopo online kutoka bodi ya mkopo wa elimu ya juu kwenye kipengele cha GUARANTOR DETAILS kuna sehem inataka adimision letter ya mdhamini au nitakuwa nimekosea?
 
Back
Top Bottom