MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,199
Naiona sana maeneo ya banana hiyo bitokuna shabiki wa yanga anayo kama hii, kaipaka rangi za chama!
Naiona sana maeneo ya banana hiyo bitokuna shabiki wa yanga anayo kama hii, kaipaka rangi za chama!
Huu ni Msafara wa Rais wa Uruguay:Jose Alberto".
Kipindi hicho akiwa rais.Alikabidhi urais wa uruguay kwa bwana Tabarez Vasquez kwenye uchaguzi ulofanyika 2014.
View attachment 337325
Yap ni mfano wa kuigwa maana ukisoma historia ya maisha yake kabla, wakati na baada ya kuwa rais aliishi maisha ya kawaida kabisa.