Msafara wa Rais

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Huu ni Msafara wa Rais wa Uruguay:Jose Alberto".

12938083_1701866710068379_6567963692153975154_n.jpg
 
kuna shabiki wa yanga anayo kama hii, kaipaka rangi za chama!
 
Yap ni mfano wa kuigwa maana ukisoma historia ya maisha yake kabla, wakati na baada ya kuwa rais aliishi maisha ya kawaida kabisa.
Hakuna Rais wa kiafrika anayeweza kuiga maisha ya huyo ndugu. Hapa kwetu tu kwenyewe Rais anatupiga fiksi za kubana matumizi wakati yeye akiendelea na matanuzi.
 
Back
Top Bottom